Nimekuwa mtazamaji kwa kipindi kirefu humu ndani. Nikiwa kama GUEST Lakini kwa sasa nimeamua niingie nami niweze kushare nanyi.
Ni mgeni kwa uchangiaji. Lakini ni "mwenyeji mwenzenu" kwa...
Hi JF members,
Nimeijua JF muda mrefu, na nimekuwa nikiwasoma sana. Yapo mengi ya kujifunza hapa mahali ikiwa ni pamoja na kuvumilia matusi au watu wenye mawazo tofauti na yako.
Naipenda JF na...
Kwa mara ya kwanza nafurahii sana kuwa mmoja wa wanafamilia ya Jamii Forum. Nutamini kushirikiana na nyie katika kujadili mada mbalimbali. Asanteni sana.