Hodi mpaka ndani wadau wote wa JF. Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24 ambaye nimeamua kujiunga na mtandao huu wa JF. Naomba nitoe tahadhari mapema kwamba sikuja kutafuta mchumba kwani...
Jamani baada ya kuuawa kwa balozi wa marekani libya, nini kinaendelea huko 'duniani' kwa sasa? Nasikia wamarekani wamedhibiti balozi zao vilivyo, kulikoni hapa dar es saalaam? Napo wameongeza...
Kwa heshima na taadhima, salamu zangu nawapa..
naomba nikaribishwe kwa nderemo na vifijo.........
bepaaariiiii.......................... bepari mzalendo ndio jina langu!!
Michango hiyo inapokelewa na Mweka Hazina wa Iringa Press Club kwa M Pesa, Tigo Pesa namba 0713654945 na Mjengwa Blog. Michango hiyo inaratibiwa vizuri na itafikishwa kwa mjane wa marehemu katika...
NASHINDWA kuyazuia machozi yangu yanapobubujika na kudondoa kwenye kope za macho yangu hasa ninapokumbuka kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi na watanzania wengine waliokufa na kujeruhiwa kwenye...
Nimekuwa nikifuatilia topics mbalimbali humu JF kama guest, nimeona umefika wakati wa kuwa member wa JF.
Naomba kukaribishwa na wenyeji. Asanteni sana.