Whatc up in here!?me new hapa jmn,,,naomba nkaribie kwa swali,naomba kujua et hiyo nokia qwerty naiskia san ckuhz ni shs!?hapa bongo naiihitaji kwa kuchat-chat wth friends...
Nipokeeni wanajf,mimi ni mdau wa siku nyingi wa jf,nilikua nasoma tu bila kuchangia sasa nimeingia kwa miguu yote.Napenda sana mada za kisiasa,mimi ni ANTI-MAGAMBA.Hodi tena !
Jf mpoo!! Nashkuru sana kujiunga na nyinyi ktk jukwaa lenu hili.niko very interested na da way mnavyopashana habari.JF NIPOKEENI KWA MIKONO YOTE.LOVE U ALL.
​Chinese firm leased obsolete aircraft for Air Tanzania
SHAREBOOKMARKPRINTEMAILRATING
ATCLs Dash 8-300 aircraft that skidded off the runway at Kigoma airport. Picture: File
By MIKE...
natumaini wote ni wazima nilikuwa napita njia kila siku leo nimeona na mimi niingie ukumbini For sure Jf ni sehemu ya kuongeza maisha hamna siku itapita bila kucheka na kujifunza kitu...
Hodi humu ndani wajameni...
Ni mimi ndugu yenu Nyama Choma naomba kwa heshima na taadhima mnikarishe ndani niweze kushiriki nanyi katika ujenzi wa taifa letu changa sijui litakuwa kubwa lini...
Jf mpoo!! Nashkuru sana kujiunga na nyinyi ktk jukwaa lenu hili.niko very interested na da way mnavyopashana habari.JF NIPOKEENI KWA MIKONO YOTE.MIC U ALL.