Jamani nalazimika kujitambulisha upya kwani nimekuwa mgeni ndani nyumba, baada ya kukubwa na gharika la matengenezo na maboresho ya server yetu wiki iliyopita. Mimi ni wenu yule yule mbalu
Nimefurahishwa na ukumbi huu, nikaona heri nami nijumuike ili tubadilishane mawazo, tupashane habari na tujiendeleze kwa namna mbalimbali. Asanteni kwa kunihimiza nijiunge.
Hukulu wino
Siku nyingi nilitamani nike hapa javini niwe nanyi wakuu.kwa namna ya pekee nashukuru sana kuwa sasa nipo nanyi.nawaombeni ushirikiano wenu plz wake kwa waume,vijana kwa wazee
Habari zenu wakuu.Nina furaha sana kujiunga nanyi leo.Aidha ninaomba tushirikiane kwa pamoja,tuelimishane,tukosoane na kadhalika ikiwa ni kuwekana sawa katika maisha!
Hi! nanafurahi kuwa member wa jamii ya Wana-Jamii forums. Kama new member ninalazimika kujifunza mambo yanavyoenda hapa. Hata hivyo kwa muda mfupi ambao nimetembelea forum nimefurahia sana.
Big...