Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Enyi wanachama wa JF, napenda kujitambulisha kua na mimi Bwaksi ni mwenzenu. I hope ipo siku nitakua seniour expert member:target: Nainjoi sana michango ya wanachama!!! Na kuna wakati nikitaka...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
nawapenda wote na nawatakia x-mass njema. mr/madam speaker, i propose the motion that judith be accorded a warm welcome at jamii forums where people dare to talk opennly. wake up all those who...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Nipokeeni jamani. Tujadili na kufahamishana na zaidi ya yote tuelekezane
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni Mtanzania mwenye umri zaidi ya miaka kumi na minane naomba kujiunga nanyi humu jamvini
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hellow am delighted to be among the part of this community hope i can share with you the life experience. HAPPY NEW YEAR TO U ALL.
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Jamani wanajami Forum im new here, naomba mnipokee na mnikaribishe. Napenda kujiunga nanyi na nawapenda wote. Thanx
0 Reactions
27 Replies
2K Views
I am very glad to inform the JF members and I am just new I have joined JF to bring real changes to our communities and help our govt on what we call good governance is all about leaders to be...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello j.f: Happy new year, i am a new member, i will be happy to be connected with experienced members...
0 Reactions
4 Replies
944 Views
WanaJF, maveterani na wageni waliojiunga na forum hivi karibuni, ninawapa salaam za kheri ya mwaka mpya. Mimi ni mmoja wa wageni ambao najitokeza mbele yenu kwa kuanza mwaka mpya 2011 kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF wote nawatakieni heri ya mwaka mpya and I will be with you starting new year with new blood of great thinkers.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawapa heshima zenu WanaJF. Naomba kujumuika nanyi katika Jamvi hili. Naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Akhsanteni!!!!!!!!!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hi wana-jf, ndo mgeni kabisa humu ndani, naomba kupokelewa, tuweza kulisukuma mbele hili gurudumu. Mmekuwa kimbilio langu mara nyingi ktk mwaka huu wote na hakika nimeipenda jf kwa mada mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa nawasalimuni ... nimeingia rasmi JF
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Wana JF mimi sikuwa member wa JF lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii. Nimegundua kwamba level of thinking ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimejiunga kwenye hii super blog naomba ushirikiano!
0 Reactions
2 Replies
751 Views
Cha ukweeeeee kikwelikweli....aksanteni ndugu ninyi nyooooote wa JF nawapa pongezi kwa safari ndefu mliyo ianza siku nyingi pasipo kuchoka....nami nakata utepe rasmi NIPO NANYI MPAKA MWISHO WA...
0 Reactions
4 Replies
780 Views
Kwa hakika nimekuwa nikiifuatilia jf kama mgeni, sasa nimeona na mimi niwe natoa yangu maoni na kuchangia.Hodi hodi wana jf!!!! naamini tutaelewana tu maana "lugha" zenu nazitambua na nazipenda!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Sokon 1 ni mgeni katika jamiiforums nawasalimu na nimejiunga pamoja nanyi katika kuchangia mawazo yenye mtazamo chanya wa kujenga taifa.
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Naitwa Gogozito, naomba kujiunga na wanajamii ili tuweze kushirikiana katika kuboresha hii forum. asanteni sana.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom