Wandugu wana-jamii naomba kuwasilisha hoja ya kupitishwa kwangu na nyie nyote kuwa miongoni mwa wanajamii wenza wa jukwaa hili tukufu baada ya maombi yangu kukubaliwa na Mods.
Ahsanteni na...
Baada ya kutambulishwa kwenu na wateja wetu, tumeona ni bora tujiunge hapa ili kupatikana kwetu iwe ki-urahisi.
Business Services & Consultancy Ltd.
Business Millennium Park, Office No. 7...
Habari wana jamii wenzangu. Nimeolewa, kabla sijapatwa na mkasa ninaotaka kuwaeleza nilikuwa namuamini sana mume wangu. Mwaka jana mwezi wa 6 nikagundua kuwa ana mwanamke (mama mtu mzima ) Kuanzia...
Wakuu naomba nami kujiunga katika uga wa ma-genius wa JF. Ni mwana mapinduzi mwenye mrengo ulio wazi about future of our nation, jina langu lina -potray msimamo huo..... hodihodi hodi
Wenyeji.nimekuwa nikipita mtaa huu maarufu.nyumba yenu ni ya kipekee.naomba ruhusa niingie ndani.kuku mgeni asiye na kamba mguuni hawezi kuwa zawadi ya kimburu au...?
Ni matumain yangu mt wazima wa afya njema.Dhumuni la ujumbe huu ni kutaka kuwajulisha na mie huyu nimejiunga kikosini toka fasi za magharibi ya tz. Napenda kuwasalim wana jf popote mlipo...
Hodi wadau wapendwa,
kilingeni naingia,
mgeni katika jamvi,
pasi na hofu yoyote,
kuwa mmoja kati yenu,
mawazo kuchangia,
ustawi wa jamii kuneemeka.
Mkumbamasaka jina langu,
kukokotoa...
Wakuu,
baada ya kuwa msomaji wa jamvi hili kwa miaka kadhaa kwenye maswala ya siasa, sasa nimejiunga rasmi na nia ni kwenda kuleeee..... Kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki...... Nadhani...
Haya haya ndio kwanza naingia kwenye baraza.Nimesoma jamii forum kwa miaka kumi sasa nimefurahishwa na majambo yake. Naomba mnipokee kwa mikono miwili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.