Heshima kwenu WADAU WA JF. Kwa mara ya kwanza leo najitokeza,ombi langu kwenu ni kuomba kukaribishwa (HODI?HODI?) Nitakapo karibishwa ndipo UZIuanze. Nawasilisha
kama nilivyojitambulisha hapo juu mim nilimbukeni tena limbukeni wa kiwango cha juu zaidi, na katika maswala mazima ya mitandao ya kijamii ulimbukeni wangu umetukuka zaidi ya ukuu wa muadhama...