Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninaomba kufahamishwa ni wapi kwa hapa Dar es Salaam nitapata vifungashio vya mikate (sehemu ya kuprint mifuko) na keki. Naambatanisha picha za baadhi...
Kiwanja kinauzwa
Kipo same KILIMANJARO.
KIJIJI CHA RUVU DARAJANI.
HATUA 70 KWA 35
Umbali wa kilomita moja toka barabara kuu.
Bei ni Tshs 850,000 (bei inazungumzika)
Sababu za kuuza ni pamoja...
Pia tunafanya surveying (underground water) borehole flashing ,bei zetu kama zifuatazo
Mita 50 milioni mbili na nusu (2,500,000)
Mita 60 milioni tatu (3,000,000) mita 70 milioni tatu na nusu...
Wadau habari za jumapili.
Naomba kujua mahala ambapo naweza pata car vacuum cleaners kwa Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wandugu
Napenda kuwafahamisha kua nina uwezo wa kufanya supply ya mbao (hard wood) kulingana na mahitaji ya anaehitaji mbao
Kwa yeyote mwenye kuhitaji awasiliane nami kwa maongezi zaidi...
Huduma ya M-pesa ya mtandao wa Vodacom inayoongoza Tanzania kwa watumiaji wengi, imetoa fursa kubwa kwa watu mbalimbali kubadilishia maisha na imetuingiza watu wengi kwenye mfumo wa kifedha...
OPPORTUNITIES
PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR AGENTS ALL OVER #TANZANIA
We are an established business with a rich 18-year history, focus on modernizing insurance sales and customer...
Nauza desktop yangu aina ya HP workstation
Specs ni 750 HDD
Ram 5GB
Windows 10
Monitor screen ni 24"
Price 450k
Contact.. 0759870104
Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana nauliza ubora wa bati la kampuni ya Kiboko lenye jina la Corrugated Mangalore 28 blue kama linapauka ama lah, nimepita hapo kamaka limenipendeza machoni nataka nichukue nipaulie, msaada...
Fanya kunichek kwa namba 0759 432 654 niweze kukuingiza kwa orodha ya wateja watakaofanyiwa delivery buree
Earphone ni 9000
Usb ni 6000 tu
Jamani mzigo unakaribia kuisha na moshi pia nafanya...
Ndugu wana JF,
Kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki Toyota RAV4 hizi tafadhali naomba uzoefu wenu kuhusu unywaji wa mafuta, uhimili wa gari katika barabara zetu za bongo...