Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ghorofa lina fremu 5 , pamoja na nyumba yenye vyumba 10 ambayo ni sehemu ya eneo linalouzwa, bei tajwa ni kwa vyote yaani hilo ghorofa na hiyo nyumba.bei ni MILLION 320 mazungumzo yapo piga SIMU...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bei tsh 50,000/- You want Iron Box which is automatic and easy iron your clothes by just selecting the clothing material with no worry of burning your cloth? Yes this is the one your were looking...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Bright future superior manufactures of america BF SUMA Makao mkuu California Marekani Tanzania makao makuu yake ni msasani Products zetu ni za asili kwa asilimia 100% Zipo aina ya bidhaa zaidi...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Jipatie viatu vizuri na vya kisasa kabisa Vyakike kwa bei nafuu kabisa Kuanzia 3500 hadi 11000 jumla na reja reja Kwa Dar es salaam napatikana kariakoo lakini pia free derivery service ipo...
1 Reactions
105 Replies
45K Views
  • Closed
Wadau nimepata uhamisho natakiwa niripot mtwara tarehe 1vNov 2016 .Hivyo sina budi kuhama ikiwa bado miezi miwili kodi iishe kuanzia Nov 1. Hivyo basi ujiwa na kodi ya miezi miwili unirudishie...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Habari wakuu natafuta masta room maeneo ya kimara (bucha-rombo),sinza,survey na mikocheni Vigezo Kiwe cha njee yani sio ndani ya nyumba Maji yawepo Mbali na msikiti,kanisa au bar Wapangaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Altezza - Km 164441, Engine capacity CC1980 Bei Million 7.5 Gari ipo Nyegezi - MWANZA Mawasiliano 0621045144
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Kama unapenda Movies, Karibu uwe member na uweze kupata muvi (movie) zote kali, zenye ubora wa hali ya juu (high quality). Mpya za mwaka huu na za zamani. Zote kali. Kiingilio cha kuwa member ni...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
........ NOLAN TOMATO PASTE......... Mchuzi Mtamu Radha Tele Inasambazwa na Bahari Cosmetics Ltd,Nyerere Road Dar es salaam. Kwa bei ya Jumla na Rejareja ikiwa katika ujazo tofauti tofauti Piga...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwema wakuu, Kutokana na changamoto za maisha, natafuta part time job kuanzia mwezi ujao mwishoni katika jiji LA Dar. Ni professional Eng. Nina uwezo wa kufanya kazi katika kiwanda chochote cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Nauza kiwanja changu, Kiwanja No. 1015 kitalu PP (HD) Mtaa wa MAGEUZI SHINYANGA MANISPAA Kiwanja kina OFA. Kiwanja kipo karibu na barabara, Pia nguzo za umeme na maji vipo karibu. Bei...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pata Profesional design ya Logo, Certicate, nk Pia pata Mifumo mbali mbali ya kuendesha shuhuli zako mfano shule, hospital and pharmacy kwa bei nafuu 0765038814, Kwa mikoa yote Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina Smartwatch mpya naziuza. Unaweza kuweka laini na memory card kwahiyo unaweza kupiga simu na kupokea simu. Pia utatuma SMS na kupokea. Ukiunganisha na Bluetooth kwenye cm yako unapata...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Ni ya mwaka 2000, imetembea kilometers 137,000km. TD 42 engine. Suspension safi kabisa, ina Air Condition, tairi mpya. Gari iko katika hali nzuri sana. Bei 30 million Tel: 0622 362651
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Deep Fryer Tsh 150,000/- Brand name Quigg Origin German Capacity Frying food 750g Quantity; more than 5 pieces available With this German made fryer your gurantee is assured to use it for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tatu Mzuka ni mchezo mpya wa jackpot uliobuniwa mahsusi kubadilisha maisha ya watu. Tatu Mzuka ni rahisi kucheza kwa kutumia simu ya mkononi, na kushinda ni baada ya kila lisaa limoja baada ya...
0 Reactions
35 Replies
24K Views
Wale wenzangu na mimi mnaopenda maisha ya furaha na nyumbani kunakuwa na furaha kama bustani ya eden nauza mbwa wako fully trained kasoro kuwapa certificate basi..... Black species nauza 400,000 &...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Natafuta kiwanja cha kujenga guesthouse/Lodge Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000. Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Amani kwenu wadau, Ninauza viwanja vyangu ni vizuri kwa makazi, vina ukubwa wa M.40x30 vinapatikana maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mashine ya miwa ya kisasa kabisa yenye Kibanda chake na matairi inayotumia jenereta na umeme iko sokoni.Nashindwa kuweka picha mtandao tatizo.Bei 1.65m
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…