Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kuna dogo yoyote ambaye ni mhitimu wa fani ya Usanifu majengo.... Mwenye uwezo wa kufanya 2D na 3D render, Amemaliza kuanzia mwaka 2020 Anicheki inbox chap chap
1 Reactions
1 Replies
507 Views
• Direction: Bunju B, 800 meters from Bunju B Daladala Stop (Bagamoyo Road) • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 500 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 120 million • Viewing...
1 Reactions
2 Replies
472 Views
Hapa ntakuwa napost viwanja na Nyumba zinazouzwa pamoja na Nyumba zinazohitaji wapangaji. Karibuni. ENEO NI ZURI KWA APARTMENT AU MAKAZI BINAFSI LIPO SINZA A KARIBU NA APARTMENT ZA DELINA NA...
2 Reactions
1 Replies
550 Views
Jipatie simulizi za kijasusi Ambola Mwamba The last chapter Scandal The football Peniela Queen monika Miss tanzania Capture or mission Kiapo cha jasusi Kikosi cha siri Dear mathew mulumbi BY...
5 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari, Tanga kunani palee Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo. Chumba kiwe na choo ndani Bajeti yangu 70k kushuka chini.
2 Reactions
5 Replies
854 Views
Habari nimekuletea mfumo wa maauzo "POS" ulio bora na unaotatua changamoto za moja kwa moja kwa waendeshaji na watoa huduma wa bidhaa kwa uhalisia kama zifuatvyo; (i)Umeme ukikatika ghafla hauna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Fenicha zimepatikana
1 Reactions
6 Replies
529 Views
Tunatoa huduma za ujenzi.. 1. Ramani za nyumba 2. Usimamizi wa ujenzi 3. Mabango ya ujenzi kwa wanaojenga magorofa 4. Ukadiliaji wa gharama za ujenzi Tucheki kupitia namba 0687732666 / 0712006246
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki...
2 Reactions
12 Replies
897 Views
Kipi ni bora kati ya SSD na HDD
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nimeelekezwa na mtu kwamba Zanzibar (visiwani) dagaa nyama wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa / ndoo ndogo na kuendelea. Please! Nahitaji connection ya muuzaji hao dagaa aliyeko...
3 Reactions
7 Replies
555 Views
SAMSUNG A15 INA WIKI 1 TU FULL BOX OFFER RAM 4GB, 128GB ROM BEI 260K MAONGEZI INBOX.. 0657262645
0 Reactions
2 Replies
600 Views
Hello wana jamvi kwa wale wanaohitaji kuanzisha bakery au Hotel na mgahawa mashine zote unazipata dukani kwetu tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi. Mashine zetu zote zina waranti pia bei zetu ni...
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Meza ni kubwa na inafaa kwa matumizi ya ofisi Bei 80,000 Tu ipo Tabata kwa mkuwa 0711707070
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Meza kubwa na kiti kisichozunguka Vizima havina shida yoyote Bei 120,000 (vyote kwa pamoja) eneo vilipo Tabata kwa mkuwa 0711707070.
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Meza kubwa ya ofisini ipo Tabata kwa mkuwa Bei 60,000 Tu 0711707070
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Kipyenga cha ufunguzi wa Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kinapulizwa weekend hii kwa mchezo wa ngao ya jamii kati ya Man City vs Arsenal. Jipatie sasa King'amuzi cha Canal Plus ushuhudie mtanange huo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Imepote
0 Reactions
0 Replies
312 Views
OFFLINE ❌❌🥶
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Je, wewe ni Mgeni au Mwenyeji na unahitaji nyumba ya kupanga Jijini Mbeya.? Je, wewe ni Mfanyabiashara/Mjasiriamali na unahitaji sehemu ya kufanyia biashara Jijini Mbeya.? Je, wewe ni...
4 Reactions
92 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…