Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta,Boko,Ununio,Mbweni, Kimara,Mbezi,Kipunguni,Chanika,Kigamboni...Kisiwe Mbali na Barabara na Kiwe sehemu nzuri ambayo nitaweza kuweka hata frem za biashara sasa...
Get a BOXED BRAND NEW Android Phone at BUDGET PRICE;
Introducing Gowin M7 At 180,000/= (Nunua kabla hizisambaa town,price might double, :glasses-nerdy:)
Whatsapp,insta,viber,tango,BBM,chrome...
Tafadhali mwenye taarifa ya ninapoweza kununua e cigarettes hapa Dar naomba msaada. Ikiwezekana na prices zake. Walio ng'ambo na wanategemea kuwepo Dar weekend hii pia mnaweza kunisaidia.
Internet bila ya kikomo ya Airtel inapatikana 15, 000/= kwa mwezi. Ni vocha halali nimezipata kupitia Airtel. Offer hii itadumu zaidi ya mwaka.
Call 0779 420 000
Pata viwanja maeneo ya Kinyantila. Sifa zake kimoja kina nyumba yenye vyumba viwili na eneo kubwa la kutosha ujenzi. Bei yake n 16millions. Na cha pili eneo la kawaida ukubwa wa wastani, bei yake...
Ni Heka Moja. kipo nyuma ya shule ya msingi Kilomo kilometer 3. kutoka kilomo Shule ya msingi. Bei yake ni Mil.4.5 (inaongeleka)
kama una kiitaji Ni pm
Boma la vyumba vinne linauzwa lipo mzambarauni chamazi na gari linafika mpaka mlangoni,lipo mita 200 kutoka barabara ya kuelekea katika uwanja wa klabu ya azam.
Bei ni maelewano
mawasiliano...
Iwe na mwonekano mzuri pia iwe inatembea.Mwenye nayo tafadhali Naomba anitaarifu,Badget yangu ni 5.5ml
tutabadilishana namba ili anionyeshe picha kwny whatsapp.
Nipo Dar es salaam...
Mwenye spywatch muundo wa picha niloweka tufanye biashara mara moja. Awe dar. Au anayejua wapi zilipo dar anielekeze. Strictly muundo na mwonekano huu tu. Natanguliza shukran.
Mashine ya kuchanganyia unga inauzwa (angalia picha)
Mashine ipo katika hali nzuri imetumika kipindi kifupi tuu!inauzwa kwasababu imepatikana mashine nyingine kubwa zaidi ya 20kg.
Location...
Hi. WanaJamiiForums,
Tunauza kiwanja Segerea; Kiwanja hicho kipo Segerea katika eneo zuri ambalo linafaa kwa biashara na karibu na Sekondari ya Magoza, kimepimwa na hati zipo. Mauziano yatafuata...