Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Htc first Bei 250000 0652 646722
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Habari wadau Naomba kwa yeyote anayejua wapi naweza pata laptop dell latitude xps 13 ultra book au duka linalouza laptops brands nyingi kwa dar anijulishe.shukrani
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika,bei ni 5.5 MILLIONS,ukubwa ni 40 kwa 75,mchanga ni hapo hapo,sio mbali na barabara,MPIGIE SIMU MUHUSIKA NAMBA 0784859131
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza simu aina ya Samsung Galaxy Vibrant kwa shilingi 150000, iko katika hali nzuri, kioo hakina scrach. ina 16 gb internal memory. narudi chuo kwahiyo i need some money.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni barabara ya Chanika-Mvuti,karibu kabisa na barabara ya lami iendayo Mbagara kupitia chamazi na ile inayorudi chanika,ni karibu na makazi ya watu,kina ukubwa wa SqM 703,tambalale na sehemu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L iliyo katika Hali Nzuri ya Body na Engine. Body ndio kipaumbele cha kwanza iwe Haijagongwa wala kupata ajali kubwa(sio michubukoo midogo) Nahitaji...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Hii tecno m3 ipo sokoni 80000/= Serious buyer contact 0763263740
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Alll
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni wauzaji wa vifaa vya pikipiki aina zote na bidhaa kutoka Dubai vikiwemo vya Boxa na vyengine vingi. pia wanauza Engine original za pikipiki zenye ubora wa hali ya juu spocket set original za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa unayetafuta kiwanja lakini unakumbana na bajet zinazokuwa juu kuliko mfuko wako usiwe na presha! Nauza kiwanja changu kilichopo bagamoyo kiromo...kipo barabarani next to kiromo hotel yenyewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hiyo ni bei ya kiwanja kilichoko jirani kabisa upande wa baharini, mkabala na magorofa mapya yanayojengwa eneo la Dege Kigamboni. Bei hiyo inajumlisha hati ya kiwanja (Title Deed) itakayofanyiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hello
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Kwa wale wanaosafirisha mbaazi kutoka mikoani kuja DSM wasihangaike kutafuta soka kwa manufaa yao. BM IMPEX ndio mkombozi wako. Uza mbaazi kwa bei nzuri na yenye manufaa kwako. Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
habari za majukumu ma bibi na mabwana napenda kuwafamisha nauza vitunguu kwa mtu yoyo aliyendani ya tanzania vitamfikia mwenyekuitaji naomba ani pm
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Habari wakuu....nahitaji samsung s3 nina tsh laki 2 ila nitakupa na Tecno phantom A plus (A+) bado mpyaaa...nakupa na all ts accessories. kama unahitaji tufanye biashara ni PM au nitafute kupitia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mpangaji kapata uhamisho wa ghafla kwahyo anahamia sehemu nyingine na alishalipia kodi ya miezi 5@60000. Chumba single room,ceiling Board,Umeme na maji yanapatikana hapo hapo.Kipo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RAV 4, MODEL JT172SC,UK MODEL,WHITE STATION WAGON,121163KMS,PETROL,RIGHT HAND,VERY GOOD TYRES,POWERFUL CAR SUBWOOFER MUSIC. Milioni kumi na mbili 12,000,000 PM kwa mazungumzo tafadhali
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Wapi naweza kupata naomba msaada kwani hapa Mwanza nimekosa
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Iphone iko na hali nzuri bei 350 0717385177ATTACH]193586[/ATTACH]
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Anayehitaji tuwasiliane kipya kabisa kipo full set!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…