Vinahitajika vyumba viwili Iwe sebule na chumba cha kulala eneo la sinza karibu na chuo cha ustawi wa jamii.
Tafadhali matapeli watakuwa treated accordingly .
An opportunity extended to you by Datasoft Networks Datasoft Networks - Portal Home to use our dedicated servers can help you sense a first-hand experience of the remote computing power. You will...
Habari wakuu
Nauza kiwanja changu kilicho pimwa,kwasasa nafuatilia hati ila offer ipo tayari.Bei yake ni sawa na bure kulingana na eneo kilipo na ukubwa wake
Kilipo: Kiwanja kipo barabarani...
Wadau wana JF natafuta kiwanja hapa Dar es Salaam, bajeti yangu ni Millioni 2, mwenye nacho tafadhali atiririke hapa akisema location, ukubwa wa kiwanja na miundombinu ktk maeneo husika. Asanteni!
Pata samsung s3 kwa bei ya sh. 420,000/= tu. Simu ndo zinaingia leo but izo za ofa ni simu 10 tu ndo kwa 420,000 nyingine bei zetu ni 460,000 tu.
specifications.
screen size 4.8
Ram 1 GB...
Kuna chumba na sebule jiko pamoja na choo chake maeneo ya savei dakika 5 kwa mguu tokea mlimani city. Bei ni shilingi 150,000/= inaitajika kodi ya mwaka. Maji yapo 24/7. Hakuna malipo ya dalali...
Kama ungependa kuwa wakala wa benki, tuwasiliane kwa namba 0754-730813
Vitu vya kuzingatia
1. Soma Page number 5 na 6 kwenye hii guideline ya BOT kujua kama umekindi vigezo vya kuwa agent...
habari wakuu
nataka modem universal au hata ya vodacom inayochakachurika , nahitaji sana , nipo ubungo dar , offer yangu 20 tsh mpaka 15 tsh
contacts: 0716282670
0759146483
Kabla ya kesho...