Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hizi hapa, malimbe jiran na chuo cha saut,pasiansi jirani na pasiansi secondary ya pasiansi na nyanshana yenye eneo kubwa. Bei ni maelewano 0788752672.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Je? Wewe ni Mwalimu, Daktari au Mwanafunzi Wa Chuo, Umestaafu au hauna ajira? Umoja wa WAJASIRIAMALI wa kimataifa nchi za Afrika Mashariki wanakualika Kwenye semina itakayokuonesha namna ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji Toyota gx 100 haraka iwe katika hali nzuri ambaye yupo tayari anaweza kuniPM. na kunipa wawasiliano yake pamoja nqa picha..
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Nokia X2 yenye uwezo wa kusupport whatsApp inauzwa kwa bei ya Elfu 80 tu . Nipo dar es salaam kwa mawasiliano zaid nicheki kwa 0714499248. Ukitaka kuijua zaidi Google " Nokia X2".
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toyota IST inauzwa bei ni Tshs 8.8m, ina namba CY, for more details just pm. Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mdogo wangu anatafuta chumba kidogo cha ukubwa wa mita 1 hadi 2 upana na urefu mita 3 kwa ajili ya kufanya biashara ya vipodozi na accessories zake. Kiwe Arusha kwenye eneo zuri kwa maana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kaka yangu ana shamba la matikiti maji (water melons) Ruvu Station yameshakomaa kwa kuvunwa yakutosha gar kadhaa yeyote anataka kununulia Mzigo shamban wasiliana na +255 715 476 787 or +255...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Aina ya simu: G G2 -- D802 Hali yake:Mpya, Uwezo: 16gb internal memory, 2GB Ram, Camera: 13mpx camera ya nyuma & 2.1 ya mbele & flash, OS: Android OS, v4.2.2 jelly bean...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji pikipiki iwe kati ya aina hizi; FEKON,KINGLION au SUNLG bajeti yangu ni 1M. Iwe haijatumika zaidi ya miezi sita na iwe kwenye hali nzuri. Aliyenaye na interested hiyo bei ani PM
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Ni masey furgason 165. Moja diesel na nyingine petrol.. Piga 0714 045 080.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
zifuatazo ni baadhi ya sababu za msingi *utapata (taaluma) au ujuzi kimapana zaidi kama ww ni mtafutaji mzuri. *mazingira mazuri ya kuishi na kujifunzia pia. *hali ya hewa ni nzuri, japo kunakuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mteja wa eneo la beach kyela 15km kutoka mjini lina mchanga na kina kifupi. Lina apartment haijakamilika. Mil 50 lakini bei inaweza kujadiliwa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
line ya mpesa inauzwa garama ni laki na themanini tu mwenye kuhitaji just nijulishe via pm nipo moshi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Abel g ndo jina langu,umri wangu ni miaka 26,elimu yangu ni kidato cha sita na nimehitimu mwaka 2013 na kufahuru vizuri kwa daraja la pili ila sikuweza kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa pesa na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ngugu wa Jf nitakusaidia au nitakufutia kiwanja au shamba maeneo yafuatayo:-mbezi luis. Makabe. Msakuzi. Mpigi magoe. Msumi. Msigani. Malamba mawili. Tegete A. Nk. Nilivyo navyo ni m20 kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Laptop inauzwa ni samsung min bei ni maelewano.. Piga 0718934313 kwa mawasiliano. Muuzaji yupo Dar.
0 Reactions
2 Replies
876 Views
natafuata frem iwe kubwa nzuri zakhem mbagala iwe karibu na barabara ya kilwa road.tuwasiliane 0683142500
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aina ya Laptop: Samsung Mini N100SP, Hali yake: Used, Uwezo:320hdd, 2GB ram, 1.66Ghz processor Intel Atom n455, Camera: 2mpx, vga, OS: Window 7 Home premium, Sifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wakuu Naulzia mtu anaeuza Sumsing Gallaxy S4 copy ya kwanza, kwa mwenye kuuza simu hii tuwasiliane PM Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nahitaji pool table mpya napata wapi na bei ikoje? 0773 944 944 kwa mawasiliano
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…