Kama una bidhaa hii (Cashew Nutshell Liquid) basi naomba uniandike kwenye email yangu hapo chini.
Nipe bei yako na Specification ya hiyo liquid kwani kuna jamaa kasema anaweza kuitafutia soko la...
Aina za simu zilizopo,
1. Blackberry Z10
2. Blackberry bold Q5
3. Samsung S3
4. Samsung Y (Young)
5. Sony Xperia E
6. Blackberry bold 9780
7. Blackberry 9000
8. Camera Nikon.
zikiwa na kila...
Ninahitaji aina ya
1 LG SMARTPHONE
2 HTC MYTOUCH 4G SLIDE HD WIFI GPS 8MP 4GB ANDROID
3. IPHONE
ISIWE USED BALI IWE BRAND NEW JAMANI NINA SHIDA SANA NAYO NAWEZA NUNUA WAPI
AU NIITAIPATAJE...
Nauza turubai kubwa pamoja na chuma zake kwa sh.1200,000/= rangi nyeupe lenye uwezo wa kutosha viti 100 na imara kabisa,pia nauza viti 100 @ 10,000 ni viti imara kabisa na bado vipya.Kwa mteja...
Ni standard sana full gypsum board with sliding alluminium windows text or call me 0715-140001 bei 50,000 kwa sebule na chumba unalipia miez 3 tsh 150,000
Habarini wadau!
Mashine mbili za kukamulia juice ya miwa zinauzwa. Moja inatumia umeme na nyingine ya kusukuma kwa mkono.
Zinauzwa kwa pamoja 1.5M bila kupungua wala kuzidi hata senti moja. Ziko...
Habarini wadau!
Mashine mbili za kukamulia juice ya miwa zinauzwa. Moja inatumia umeme na nyingine ya kusukuma kwa mkono.
Zinauzwa kwa pamoja 1.5M bila kupungua wala kuzidi hata senti moja. Ziko...
Habari Wadau.
Nauza chumba kimoja chenye full tiles na choo ndani. Kodi ni 100000 kwa mwezi nmekilipia miezi mitatu hivyo nirudishie 200000/- ya miezi miwili, wa nane na tisa. Ukilinilipa wiki...
Habar nyumba inauzwa maeneo ya Kampala International Univarsity (gongolamboto) ina viiumba 8...
Angalizo n mjengo wa kizaman marekebisho yapo....
Ni pm tuongee
Habar ...kuna nyumba ipo Kampala international Univarsity(gongola mboto)inauzwa...Ina viumba 8 ....Uwanja wa kutosha...
Angalizo ni mjengo wa kizaman...marekebisho yapo.....
bei maelewano...n pm...
Kwa wote wanaotaka shamba kwa ajili ya kilimo cha miti au mazao tofauti.. Ninauza shamba la ekari 589,
*Mto usiokauka umepita katikati ya shamba,
*Barabara nzuri mpaka shambani pia km 50 kutoka...