Kiwanja kinauzwa kipo kibada kigamboni, kiwanja kimepimwa na hakipo kwenye mpango mji mpya wa kigamboni, kipo block 16 kibada, kikubwa!! Bei ni nzuri milioni 30, bei inapungua!! Ukiwa wahitaji...
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu yupo Uingereza anataka mazao tajwa nimtumie akauze nchini kwake kwani kuna soko kubwa la mazao hayo nchini kwake, yanahitajika kwa wingi kadri ya uwezo wako...
20 kwa 20 kinauzwa Milioni 2.5mil ( Kipo chanika magengeni), huku hautanunua mchanga kwa ujenzi maana huku ardhi yake ni kichanga. Hivyo watu wanafanyaga hivi, pale unapotaka kuchimba choo au...