Habari zenu wakuu..ebhana natafuta kiwanja cha kununua dar sehemu yoyote ile.. bei ikizid 5m ntakuwa muongo..plls walio serious mawasiliano ayo apo 0758596153
NEW MODELS LAPTOPS ZINAUZWA KWA BEI NZURI,NI LAPTOPS ZA AINA YA HP NA DELL BUSINESS CLASS LAPTOPS AMBAZO NI IMARA NA ZINA HYPER SECURITY SYSTEMS
NI LAPTOPS ZA MATUMIZI YOTE YA...
Connies fast food as a whole business that includes the clientele, furnitures and everything in the restaurant is currently for sale.
It is opposite massana hospital along side goba road. Less...
Chama cha mawakala wa huduma za pesa kwa simu za mkononi Tanzania cmp kinawalika kwenye MKUTANO utakaofanyika ktk UKUMBI wa ngorongoro lamada hoteli trh31 / 05 / 2014 saa tatu asubuhi fika tujenge...
habari wana JF. Kwa mtu yeyote mwenye taarifa au anayeweza kunipa taarifa juu ya fremu kwa ajili ya biashara ya m-pesa maaneo ya post au sehemu nyingine maeneo mikocheni.
Habari zenu Wapendwa!
Fashionable Black tuxedo suit inauzwa kwa bei nzuri na iko pamoja na white tuxedo shirt, red tie na red bowtie kama inavyoonekana kwenye picha, ni make ya Italy na ni size...
ipo ukonga -Mongolandege haikupauliwa kuna uwanja wa kutosha,ipo barabarani,huduma ya maji umeme upo,bei M.15 ni pm kwa mawasiliano zaidi,haina dalali.
Nauza gari yangu aina ya NIssan San ipo Arusha ni Manual ipo katika hali nzuri ndio natumia kutembelea ila kwa shida binafsi.kwa mawasiliano piga 0767 931 887 muda wowote. picha ni kama...
Ninauza printer aina ya Lexmark, inayoweza kuprint, scan na copy. Pia inauzwa Monitor flat screen, LCD ambayo ni 17 inches. Zote kwa pamoja ni laki 2 na 30.......Zipo dar
Mawasiliano; 0786-305664
Hallow, jamani naombeni msaada kama kunamtu anaweza kunielekeza ni wapi naweza pata suti za wadada kama nane za kukodisha, koz officini wanataka maashers wavae nguo za aina moja.