Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Furniture za Bei nzuri hizi hapa
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Ndugu zangu , siku ya leo nawaletea SONY PS4 PADS Full ku enjoy Hii inaenda kwa 70,000/= tuuuuu Karibu sana Tupo kariakoo mtaa wa aggrey/ndanda Tupigie au wasap - 0659588492 Maongezi yapo ...
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Onsat on 3 ni moja Kati ya ving'amuzi visivyo vya kulipia kwa mwezi yaani Frre To Air Receiver ambayo itakuwezesha kutazama chaneli nyingi bila malipo yoyote kwa mwenzio unachotakiwa kujua Ni kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
๐˜’๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜œ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ต๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜“๐˜ข๐˜ฑ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฑ/๐˜‹๐˜ฆ๐˜ด๐˜ฌ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฑ ๐˜บ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ฐ ๐˜œ๐˜ด๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช ๐˜๐˜ช๐˜ช ๐˜๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ฆ.....! ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ ๐—ก๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚.... ๐˜๐˜ข๐˜ต๐˜ข ๐˜’๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜œ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ต๐˜ข๐˜ง๐˜ถ๐˜ต๐˜ข ๐˜๐˜ช๐˜ง๐˜ข๐˜ข ๐˜ท๐˜บ๐˜ข ๐˜“๐˜ข๐˜ฑ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฑ/ ๐˜‹๐˜ฆ๐˜ด๐˜ฌ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฑ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜’๐˜ช๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ข ๐˜”๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฐ ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜š๐˜ถ๐˜ญ๐˜ถ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Wadau, Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli. Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za mvua Wadau. Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha. Kwenye Mfuko wa shati kuna TZS. 30M. Mawasiliano piga 0784636291. Ahsante.
2 Reactions
8 Replies
822 Views
CAM STORE Tumekuletea BioEarn Feed Additives ama nyongeza ya malisho. Virutubisho vya BioEarn vimetengenezwa kitaalamu kwa kutumia Unga wa mimea yenye Vitamini na Protini nyingi katika uwiano...
0 Reactions
5 Replies
884 Views
Engine Capacity Cc: 1790 Mileage: 65,000km+ Engine Code: 271 Fuel: Petrol Standard Features: 8-SRS Airbag Auto Folding Exterior Mirrors Steering Switches 19โ€Alloy wheels Leather Upholstery...
0 Reactions
4 Replies
841 Views
Wana jamii forum nasafisha Banda kuku broiler wa wiki nne na siku 2 - 85 wamebaki na kila mmoja nauza 5500 ..wanapatikana mbweni jkt. Kwa mawasiliano 0612630936
1 Reactions
0 Replies
488 Views
Nataka kulinda shamba langu kwa kupandwa miti... Naulizia bei ya miti ambayo ni affordable naweza kupanda morogoro
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Nyumba inapangishwa mbweni jkt โ€ฆlaki nane kwa mwez. Kwa atakaehitaji anichek pm
1 Reactions
0 Replies
446 Views
Bado simu za mezani zimeendelea kuwa hitaji kubwa hasa Kwa watu wenye ofisi ambao wanahitaji mawasiliano muda wote (kuwa hewani) Pia Kwa familia hii simu inakuhakikishia upatikanaji wa watu wako...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Karibu Tanzania Septic Solutions tukupe ushauri na kukujengea makaro ya kisasa ya choo yasiyojaa katika kipindi chote cha matumizi yake tupigie number 0672 883 447 kwa maelezo zaidi na kutembelea...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Bei 50,000/= KEMEI model 809A. Ni ya kuchaji, inatunza chaji mpaka masaa 4. Ni mpyaa, kwenye boksi lake na kila kifaa chake kipo ndani ya boksi.
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Interlock blocks au bricks ni aina ya tofali zinazofungamana kwenye ujenzi bila kutumia zege(motor) kuziunganisha,zinapigwa kwa saruji na udongo wenye mfinyazi kiasi. Tofali hizi zinatumia saruji...
17 Reactions
108 Replies
12K Views
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani... viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby โ–  kiti cha watu 2 vipo vi3 โ– meza 3 โ– stuli 6 inamaanisha...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
TV ziko poa kabisa na ni mpya zilikua sampo dukani bei yake ni Tsh170000/= mikoani pia tunatuma ila garama ni zakwako mwenyewe, tunapatikana kariakoo mtaa wa msimbazi karibia na jengo la simba...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Habari zenu. Nauza migebuka mikavu na mibichi kutoka kigoma. Wabichi wanauzwa kwa mmoja sh.1500 na kilo moja sh.11,000 Ipo fresh kabisaaa Mikavu ipo, kuna mmoja 1000 na 2000 Fungu la wanne kwa...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo Bei ni 600,000 Simu 0753-215812.
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ