Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

4GB ram 500GB HDD 4HRS BATTERY NVIDIA GEFORCE 2GB wireless,bluetooth,dvdrw,hdmi bei-780,000Tsh 3 months used Arusha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wapendwa samahanini kwa usumbufu nna katangazo kadogo,nnauza simu nokia x2-01,bei elfu 60,000 siyo mbovu na muonekano wake ni mzuri tu kwa atakaye hitaji ntampa namba,shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi people! Habari za muda huu? Nikwamba nauza simu ya tecno m3 tsh120000/= ni android 4.2.2 ina internal memory 4gb na external memory 8gb! Ram 512, na dual processor! Nimeitumia kwa muda wa 3months!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nahitaji samsung galaxy s2, Bajeti yangu ni Tsh. 230000 Niko Arusha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A brand new samsung 40F5000 40inch tv" 1080p 60Hz slim led HD tv and home theatre ht-E355k, 330watts, fullHD, HDMI, karioki, with magical sound both for 1,980,000/=.full warranty . cont:0718 268969
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau ninayo heshima kubwa saana naomba kujua GENERALLY UZURI WA HAYO MAGARI MAWILI NA UBAYA WAKE,Yaani SPARES AVAILABILITY,UIMARA WA GARI,COMFORTABILITY,OIL CONSUPTION nk. na yoote asilimia 65...
0 Reactions
41 Replies
12K Views
Tunauza mbao za aina zote...za kuchemshwa (za dawa au treated) na zisizochemshwa..kwa maelezo zaidi wasiliana na namba zifuatazo 0715292319 au 0719352293 .Ukihitaji...tafadhili ni PM (Private...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Pikipiki aina ya skyGo inauzwa Tsh. laki 8.5 tu. Pikipiki iko safi aina tatizo lolote. Nipo dsm Kwa manunuzi ni PM au niTxt 0654913364:israel:
0 Reactions
10 Replies
5K Views
heloo, nilikua nahitaj chumba kimoja kiwe self maeneo ya external pawe pametulia pazuri. ni pm kama unacho tudo business. thenx
0 Reactions
3 Replies
795 Views
handbag za kina dada zinapatikana kwa bei nafuu na pia tunapokea order kama kuna mtu anahitaji handbag, simu yako ndo inahusika kama unahitaji tutakuletea mpaka ulipo, piga 0712656606 or 0714466356.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nahitaji fremu kwa ajili ya stationary, eneo zuri kwa biashara hiyo.. Anayefahamu anipm tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmenilalamikia sana PM kuhusu bei ila mzigo wa uhakika huo, huwezi pata popote bei kama hyo tena kwa latest ipad yenye 32gb, most zinakua na 16gb na haziingizi line kwaajili ya kupata internet...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mwenye kimoja kati ya hvyo antafute tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Linapofika suala kunipia ushuru sina hamu Kabisa ,nataka kuagiza Isuzu nqr box body's .mwenye idea naomba anisaidia kwa kukadiria gharama,asanteni
0 Reactions
0 Replies
679 Views
natafuta laptop aina ya hp used iwe smat na haijatumika sana bei iczid laki 350000
0 Reactions
3 Replies
930 Views
Ts up Mwenye laptop ambayo ina properties kama hiz au zaid Mdaa wa kukaa na chaji minimum one and half hour, hd 300gb na kuendlea, ram 2 gb tuongee biashara aweke gharama Properties
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Wakuu nilipost hapa jf kua kuna saa zinauzwa nkatuma pict bila price katika link hii hapa Juma kaseja kufungwa 5-1 misri anatufaa taifa stars?. Nshafanikiwa kutengeneza price list hizi hapa! Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba Ya Kisasa Inapangishwa...Ina Vyumba Viwili Na MasterbedRoom Moja...Ina Dining na Sebule Kubwa Pamoja na Public Toilet...Maji 24HRS Kuna Simtank..Parking ya Gari na Iko ndani ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Viwanja vyenye ukubwa wa ft 52 kwa 45 na ft 50 kwa 52. Vyote vinabarabara, umeme upo jirani, sio mbali kutoka barabara kuu. Bei ni 7m tu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jukwaa, Ninauza kigari changu aina ya Toyota Duet kwa harakaili kutatua tatizo linalonikabili. Gari yenyewe ina specifications zifuatazo:- Make...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…