Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu kwa mpigo natafuta supplements kwa ajili ya kujenga misuli.nipo dar kwa anayefahamu zinapopatikana anaisaidie... PM kwa mawasiliano zaidi. NB: mahubiri yahusuyo madhara na mizaha...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.. Nahitaji nokia e series yoyote kwa haraka mwenye nayo aniambie na bei.. Au kama unaweza nitext kwa namba 0758158730
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba ushauri wa printer imara,bora na inayoweza kunisaidia kibiashara yan kwa faida bei yake iwe chin ya mil moja.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Are you aware of these facts and opportunities for individuals and entities that are available within Perfect Internet Inc., a member driven global website based in Las Vegas, USA? Perfect...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, nahitaji blackberry q 10 mpya ,original.sitaki mchina kabisa...au yeyote mwenye kujua duka zinazouzwa hapa dar es salaam. Tafadhali msaada..
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Inauzwa HITACH PROJECTOR (model: XT-1S) Notevision, imetokea USA. Lamp span yake imetumika kwa 10%. Accesories zake: Power Cable, VGA and USB cable connection, Remote Control, Case. Book and CD...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Natengeneza professional websites, static and dynamic. nafanya domain name registration na web hosting. gharama zangu ni nafuu sana. baadhi tu ya kadhi nilizofanya. MAWALLA ADVENTURE SAFARIS...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Natafuta fundi wa computer laptop ni pm kama wewe ni fundi.Nipo mwanza.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
inahitajika toyota passo iwe katika hali nzuri mwenye nayo a comment with all details bei na picha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Husika na heading above blackberry curve 9320 ipo katika hali nzuri bid price 200,000 if upo interested send a sms I will contact u. kazi
0 Reactions
0 Replies
871 Views
2 Plots for sale Location-Kisemvule Mkuranga Area 1. 5115 Square metres 2. 9199 Square metres Access- Good access road to the Dsm-Mtwara Highway All have title deeds No middle man required For...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Tuna design ramani za nyumba za aina mbalimbali,tunapatikana survey karibu na mlimani city Dar-es-salaam,hapo chini ni sample ya kazi ambazo tumefanya. kwa mawasiliano 0713450840...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Heeeys niaje..!! Wale wanaotaka laptop nw ndo mda mzur wa kuweka order maana mzgo unakarbia kuletwa..!! So kama unataka uweke order weka mapema mzgo unategemea tarehe za karbun kutumwa maana order...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Kwa yeyote anaehitaji handbag,mikoba ya shule na mikoba ya kuekea computer mpakato,naomba tuwasiliane. Hivi vitu ni vya mitumba kutoka UK.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa wahitaji wa mashamba, naleta kwenu tangazo. Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na mhusika. Shamba liko eneo la Vianzi karibu na Vikindu, barabara ya Kilwa, wastani wa kilometa thelathini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SHAMBA LINAUZWA EKA 25 LIPO MAENEO YA BWAWANI (magereza) MPAKANI MWA PWANI & MOROGORO KM CHACHE TOKA BARABARA KUU BEI 8,000,000/= wasiliana 0659-357166
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Simu bado hipo sokoni kwa laki 7 na nusu tu,(750,000/=)Ina week tano sasa toka nimeinunua,Nina shida ya pesa ndio maana nimeamua kuuza.!Still hipo ktk good condition na hiko full kila kitu.Nipo...
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Wajameni tenga la nyanya sokoni shs ngapi kwa soko la dar
0 Reactions
5 Replies
6K Views
2400sqm ukubwa wa kiwanja cha makazi Kibada, Kigamboni Site imezungukwa na Nyumba za kisasa Eneo lime tulia na usalama Mwendo wa dakika 3 kwa gari kutoka FUN CITY speed 50km/ hr. Umbali wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…