Wakuu wa JF !
Nataka kuanza biashara za kuleta vitu kutoka DUBAI au Nchi zingine, alafu niwa uzeye wa bongo !
Do you think its paying ?
WHAT PRODUCTS do you suggest ?
Mobile Phones au ?
Tunamiliki liduka cha nguo cha mtaji kama 2m! ni mwezi 1 toka tuanze ,niliwahi kuambiwa hapa kama nahitaji nguo niende Kampala !
Hivi karibuni nitasafiri kwenda Kampala kwa mission tofauti ,nataka...
Nina jiko langu la umeme la tanalec. Limetumika ila bado linafanya kazi vizuri. Bei 250000(rangi ya brown kwenye picha)
Pia nina jiko linalo tumia mafuta kwa bei 180000(jeupe kwenye picha)...
Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza, umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa...
Tunauza machine za kutolea risiti za EFD za TRA kwa bei poa kabisa na ubora wa hali ya juu,
huna haja ya kuhaingaika tena, sasa tutakuletea machine ya tra popote ulipo tanzania pale unapohitaji...
Sisi ni wauzaji wa seat cover gari aina zote,vile vile tunauza alarm za kuzuia wezi za gari,stika mbali mbali,cushion,parking sensor,shedi za gari zote,mud flap.nk
vile vile wa dar...
Hello ladies and Gents kwa yeyote anayeuza line ya uwakala wa tigo-pesa na m-pesa anipm no yake na price
nahitaji sana hizo line,matapeli kaeni mbali tafadhali,natanguliza shukrani
Mambo vp? Ninauza simu Aina ya Nokia x2-01 single line, supporting whatsapp, Facebook, twitter na application nyingine nyingi. Iko kwenye condition na Haina tatizo lolote. Bei ni 135,000, iPod...
Ipo katika hali nzuri, imetumika muda wa miaka miwili, engine two stroke,imesajiliwa na inapiga mzigo vizuri.Serious buyers PM.Picha zipo hapo chini, ipo kinondoni studio.
chumba na sebule kinapangishwa maeneo ya tabata kimanga kiko karibu na stendi pia kodi yake nafuu ni sh.60,000 kwa mwezi na kodi inalipwa kwa miezi 6 nicheki kwa 0717 022737