Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

iphone 5 black new 1.3 mil kwa mawasiliano zaidi 0652414445
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Next Ending! Click kwenye bidhaa usika kushiriki mnada NEW SONY ERICSSON X10 mini BLACK 3G 5MP GPS WIFI Android SMARTPHONE 4h 16m USED SAMSUNG GALAXY S3,S4 FOR SALE...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kiwanja kiko mbezi msakuzi ukubwa mita 53 kwa 33. Eneo ni karibu na kwa asenga,kisabo shopping center na fm lodge. Bei ni sh. Milioni 9 tu. Hatakiwi dalali. Anayehitaji awasiliane na muuzaji...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Habari wadau wa jf, Nina uza engine ya NISSAN Model TD27 Turbo. Iko complete na accesories zake zote plus a new fuel pump. Bei ni 2.5 Maelewano yapo kwa serious buyers only. Kwa mawasiliano ni PM...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UNAWEZA KUZIPASI, KUZISETI NA KUZITUMIA KATIKA MITINDO YOTE BILA YA KUKAKAMAA WALA KUREFUKA ZAIDI!! WAHI ZIPO CHACHE !!! SIMU 0715 64 39 98 AU 0754 64 39 98 BARUA PEPE: leezbaby91@yahoo.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mim ni mdada nipo mwanza,nahitaji kufanya kazi katika vituo vya watoto yatima arusha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hie I'm looking for a company which can provide the above service(s) at affordable costs in relation to the quality of services offered! Location:-Dar es salaam Contact:0713473166 Needed-Urgently...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Natafuta nyumba ya kununua kigamboni au boko au bunju au buyunu au kibaha, tel 0713959290
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hili tangazo ni mojawapo ya meengi yaliyopo kwenye pages za JF. Hivi wakubwa zangu kitengo cha JF Marketing mnafanya screening ya haya matangazo kabla ya kuyaweka au mnapaste tu?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nyumba nzima yapangishwa. MAENEO: Temeke, Dar es salaam. Nyumba ipo mtaa wa Mashine ya Maji no5. Ni kama km 1 kutoka Mtoni Mtongani. Mtaa upo kati ya Buza na Mtongani. MAUMBILE: Nyumba ina...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Inauzwa kwa bei ya 380,000/= maana kuna emergency imetokea,mlango wa maelewano uko wazi pia. Nipo Salasala -Dar es salaam. HAINA FLASH ilipotea.Kwa maelezo zaidi 0763364005. Hizo picha...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Kama wewe ni mfanyabiashara na unahtaji kuboresha biashara yako kupitia mkopo(loan) lakin huna dhamana ya mkopo(security).Nitafute nikuwezeshe kupata Title kwa ajili ya mkopo,ushaur pia utatolewa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wana Jf, kitambo sasa nasaka huduma ya kutambua mtu ninayeongea naye kwenye cm mahali alipo. Je huduma hii hapa Tanzanzania ipo? Na kama ipo inatolewa na nani! Tadhali naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
viambatanisho:headphone,usb,charger anayehitaji antafute ktk namba hapo juu..sina mautundu ya kuweka picha ila ukidownload utaiona,bei Tsh95,000/= Karibuni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
iwe vyumba viwili na sebule na jiko,choo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WADAU NAHITAJI CHUMBA NA SEBULE KWA AJILI YA KUPANGA MAENEO KINONDONI, KUANZIA VICTORIA SAYANSI,MOROCO BLOCK 41 KANISANI, A, B, MWANANYAMALA (isiwe bondeni) UWEZO KODI 50,000 KWA CHUMBA...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Nahitaji hiyo simu na ofa yangu ni Tsh. 200,000 (laki mbili) Mawasiliano 0787577755 au 0717577755
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau natafuta mini laptop kwa laki 300000 lakini isiwe imetumika sana mwenye nayo an pm au anipigie no 0714511079
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Iwe maeneo ya Mikocheni, sinza, kijitonyama, survey, kinondoni, Budget tshs 300,000 isiwe uswazi! Kama unayo piga simu haraka 0717114409.
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…