Wakuu salamu ziwafikie.
Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia mitaa ya mwenge hadi tegeta yenye bei za 'kawaida' zinazolipika kwa wafanyakazi wa kawaida. Iwe sehemu salama na inayofikika kirahisi...
HELLOW
DAIHATSU MIRA 2003 ,GOOD CONDITION.AC,RIGHT HAND,AUTOMATIC,NO DAMAGE ,EXELLENT CONDITION
100 PERCENT NO ANY PROBLEMS, VERY VERY CHEAP,JUS AROUND 5.3MILLIONS AMAZING PRICE.
Contact...
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta nokia c5-00 5MP iwe mpya; pia kama kuna used fresh tu nitaangalia bei yako. kama andika na bei unayoiuza hapa
In February, 2013, I visited one secondary school in spearheading the programme SOMESHA MTOTO MMOJA- A project which aims at identifying deprivedstudents looking for financial support, and linking...
Waungwana,
Ukiviona vitu hivi vinauzwa, NITAFUTE HARAKA SANA! Usiku wa kuamkia Machi 1, 2013, tuliingiliwa na wezi nyumbani, wakatukomba vitu vingi, lakini hivi ndio haswa majembe yetu.
1. Apple...
Habari wana JF.
Hapa nina habari fupi tu.ya kuusu.ujasiria mali wa kutoa huduma za uwakala wa airtel money.
kwa ayetaka kufanya biashara hii awe na vifuatavyo:-
1) Copy ya leseni ya Biashara
2)...