Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

✓Unawezekana gari yako imeanza kutumia mafuta mengi kuliko ilivyokia awali ✓Au inakosa nguvu kwa namna yoyote Ile na haujui nini cha kufanya ✓Tafadhali usisite kutupigia simu ili kupata maoni...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Wadau habari, Karibuni kwa biashara Sisi ni mafundi wa furniture ambazo zinatumia material za epoxy/resin zikichanganyika kitaalam na mbao na kuleta mvuto . Tunapatikana maeneo ya makumbusho...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari ya Mfungo ndugu zangu Wakristo na Waislamu. Nina tani zaidi ya 10,000 za zao la Soya natafuta mteja wa 'Bulk' yaani mzigo mkubwa. Mzigo upo Lusaka, Zambia. Nimeambatanisha sifa zake...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari Wakuu. Leo nataka tuangalie mambo machache ambayo kila mwenye gari anaweza kuyafanya mwenyewe(DIY) ili kuhakikisha gari yake inatumia mafuta vizuri na hivyo kumpunguzia gharama. Yafuatayo...
18 Reactions
32 Replies
9K Views
Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
1 Reactions
5 Replies
778 Views
Habari zenu wanaJamiiForums, Ninahitaji mkopo kwenye microfinance institution au personal kwa masharti nafuu na riba ndogo nataka kuboost biashara yangu. Kama kuna mtu anafahamu taasisi hiyo au...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Tunza Nyayo na Taraji Coldpress Virgin Coconut Oil Kipindi hiki cha mvua maeneo mengi yanatuamisha maji.. Ili kupita eneo moja kwenda lingine inakulazimu kukanyaga maji.. Hivyo ufanya miguu yako...
1 Reactions
5 Replies
607 Views
Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari! Nauza ubao wa kidijitali au screen ya matangazo inch 49, android OS, wa kusimamisha unacheza files zote kuanzia videos, GIFs, pictures etc. Unafaa kwa matumizi ya dukani, supermaket...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Habari! Tunauza portable car inverter kwa ajili ya kubadili Umeme wa DC kuwa AC kwa matumizi madogo kama kucha ji laptop, kuchaji bluetooth speaker, ku run hair dryer au fan. Kwa wale...
1 Reactions
0 Replies
452 Views
Habari! Nauza smart keyboard cases complete na external wireless mouse yake kwa ajili ya iPad Pro 11/10.9 inch. Products ni mpya kabisa Bei 140,000 TZS tu! Tupigie 0712075845
1 Reactions
0 Replies
466 Views
Wakuu habari. Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mahitaji kwa ajili ya kampuni 1. Namba za Nida (kila mtu yake) 2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake) 3. Phone, email, (kila mtu yake) 4. P. O. Box zenu. 5. Mahali...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja...
1 Reactions
3 Replies
633 Views
Hakika splina ni TIBA bora ambayo itaweza kukuondolea matatizo au maradhi mengi katika mwili wako. splina liquid chlorophyll ina mchanganyiko wa zinc, selenium, vitamin E, vitamin C, vitamin...
2 Reactions
6 Replies
13K Views
Wadau hivi nawezaje kuzuia matangazo wakati nipo mtandaoni au kwenye app flan kuna matangazo yanapita sana yanakera af unashindwa kufanya kitu.
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Mwenye hizo bidhaa tuwasiliane haraka. 11pro iwe 256gb. S10 iwe black. Biashara ni leo na kesho tu
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Credibility ni muhimu sana katika mafanikio binafsi na kibiashara. Ili uweze kufikia mafanikio, katika muktadha huu, unahitaji kujenga uaminifu na heshima katika jamii au sekta fulani. Ili kujenga...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Habari wanajamii Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…