Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu nauza kabati dogo la nguo, Bei 150k Location Mbagala Zakhem karibu na Dar Live.
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Petrol station Plot No: 323 Complex Plot No: 324 Location: kigamboni-mbutu
1 Reactions
3 Replies
594 Views
Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya. Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana. Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
54 Replies
17K Views
Wadau habari, nahitaji VITS au SWIFT for mil 3.5. Najua muda huu kuna mtu ana anauza gari kati ya hizo kwa bei hiyo. Kwa ajili ya biashara serious tafadhali ni pm na picha.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KIWANJA KINA UKUBWA WA 20*20 KIKO MBEZI KWA BEDUI, KARIBIA NA MPAKANI A' NJIA YA KUELEKEA GOBA BEI NI MIL 6 KIWANJA KINA NYALAKA ZOTE KWA MAWASILIANO 0714309012
0 Reactions
7 Replies
902 Views
Nduguyangu amekwama kutoa mzigo wake bandarini. Anahitaji mkopo wa dharura wa 4m kwa riba watakayokubalian na mkopeshaji. Dhamana aliyonayo ni kiwanja. Kina ukubwa wa 450 SQM, ni cha...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SUZUKI CARRY FOR SALE Year: 1996 Engine Size: 650cc Fuel: Petrol Mileage: 53,000km Transmission: Manual (5 gears) Usage: Private Service : Well maintained Price: 8.5 Million Contact: 0786647564...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Naam kama kichwa cha habari kinavyojieleza external bado mpya na ina movie 1800 inauzwa bei ni 150000 Location ni Mwanza Namba ya simu ni 0769248967
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari nauza Samsung Galaxy S21 5G simu ni mpya kabisa full haifunguliwa RAM 8GB MEMORY GB 128 MADE VIETNAM Price mil 1,350,000 Location mlimani city Contact 0714787795
1 Reactions
0 Replies
816 Views
Nataka tv LG nchi 50,55. Wauzaji njoo dm
1 Reactions
2 Replies
494 Views
Habari wanajukwaa. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nauza PC ya Aina ya hp. Ni ya kwangu niliinunua dukani sema receipt nime replace. Ukiihitaji tutaandikiana kwa mwenyeketi wa mtaa ama...
1 Reactions
12 Replies
770 Views
Habari . Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Goba/Bunju/Salasala/madale nk ambacho kipo pembezoni mwa barabara kubwa. Kiwanja kinachofaa kwa kuweka biashara. Mwenye nacho ani DM. Shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
๐ฃ๐ข๐ฉ๐š๐ญ๐ข๐ž ๐ฏ๐ข๐š๐ญ๐ฎ ๐ฏ๐ข๐ค๐š๐ฅ๐ข ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ฆ๐š๐ฌ๐š๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐›๐ž๐ข ๐ง๐š๐Ÿ๐ฎ๐ฎ ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š(๐Ÿ๐Ÿ“,๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ), ๐ฏ๐ข๐š๐ญ๐ฎ ๐ฏ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข ๐ข๐ฆ๐š๐ซ๐š,๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ฒ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐›๐จ๐ซ๐š ๐“๐ฎ๐ฉ๐จ T๐ž๐ฆ๐ž๐ค๐ž C๐ก๐š๐ง๐ '๐จ๐ฆ๐›๐ž ๐ง๐š๐ฉ๐ข๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ง๐š๐ฆ๐›๐š ๐ŸŽ๐Ÿ•๐Ÿ–๐Ÿ•๐Ÿ”๐Ÿ—๐Ÿ–๐Ÿ—๐Ÿ‘๐ŸŽ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Habari wadau! Nina shida na mafuta ya mise au yale ya mawese yanayotumika kutengenezea sabuni za magadi. Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua yanakopatikana tafadhali naomba anifahamishe. Ahsante
0 Reactions
13 Replies
7K Views
KARIBUNI SANA STUDIO IRIS PRO KWA MAHITAJI YAFUATAYO 1. RECORDING 2. SHOOTING 3. DOCUMENTARY BEI ZETU NI NAFUU, TUNAKUFUATA POPOTE KENYA NA TANZANIA PIGA SIMU +255737817081/+255755549602...
1 Reactions
2 Replies
943 Views
Gari unauzwa , 8M but still negotiatable 0686124826
0 Reactions
5 Replies
666 Views
Wanajamvi nauza kabati za aluminium na vioo zilizokuwa zinatumika salon kwa bei poa anaehitaji ani pm
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu. Nina nia ya kufanya biashara ya kuuza simu eneo la Kariakoo. Huwa naona kwenye maduka mengi ya simu kunakuwa na makabati kadhaa yanayowekwa simu na kila kabati lina muuzaji...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ