Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

MULTIMACA ni kirutubisho ambacho kimepewa tuzo kwa afanisi mzuri wa kazi yake mwilini KINATUMIKAJE Hii inaongeza nguvu za kiume kwa asilimia 100% yani kama utaitumia hii bidhaa tatizo lako...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Experienced in both NECTA and CAMBRIDGE SYLLABUSES over ten years. Natafuta kazi ya kufundisha full time mkoa wa Dar es salaam. Mawasliano:0766692230
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Karibuni Gale Tanzania Ltd
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Habari wadau! Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo. Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Habari za muda huu wanajamii Forums, naomba msaada kwa anaefahamu Chumba kinachopangishwa maeneo ya Mbezi Beach (Africana, Makonde, Shule, jogoo, tangi bovu, kwa zena, au makongo). Chumba kiwe ni...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi. Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Play station ni used Hard disk 500GB Ina games ndani tayari za akaunti. Padi moja ila siyo nzima. Ninakupa na HDMI na Power cable. Napatikana Dar es Salaam Nicheki kwa namba 0682507838 au...
1 Reactions
0 Replies
553 Views
solar products. Inawaletea bidhaa ya taa[emoji362][emoji362][emoji362] 3 pamoja na switch zake pamoja na chaja za simu. Malipo ya awali 20000/= na malipo ya siku 750/= muda WA malipo mwaka 1ina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello Poleni na majukumu Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Wakuu nahitaji kibanda cha Mpesa kiwe cha chuma au mbao kisizidi LAKI 2. NIPO DARESALAAM.
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Shamba linalofaa kwa kilimo Cha parachichi au miti ya mbao linauzwa. Lipo Kijiji Cha matembwe ktk kata ya Matembwe, tarafa ya Lupembe wilayani Njombe na mkoa wa Njombe. Lina ukubwa wa eka 10 Bei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viwanja vipo kibaha kwa mfipa,karibia na chuo kipya Cha uongozi,vimebaki viwili kila kiwanja kina square meter 400. Bei kwa kila kimoja milioni 4 na nusu. Umbali km 1 na nusu toka morogoro road...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Gari haina shida yoyote no. D Engine safi, gearbox safi Full A/C Serious inquiries, karibu PM
1 Reactions
4 Replies
800 Views
Hello wana jamvi kama unahitaji mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa...
0 Reactions
67 Replies
62K Views
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako...
2 Reactions
54 Replies
32K Views
Heshima kwenu wadau.. Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc Mpya kabisa...
2 Reactions
59 Replies
12K Views
Habari Wana jukwaa! Tv inauzwa Brande: HITACHI SIZE: INCH 24 LOCATION: UKONGA PRICE: TSH 70,000/
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Salamu wanajamvi, nahitaji charger ya laptop hp 630, kichwa kipana. Kwa anayeuza aseme katika comment au aje inbox. Natanguliza shukrani za dhati.
1 Reactions
5 Replies
429 Views
Wakuu kherii. Ninahitaji godauni la kupangisha hapa Zanzibar. Liwe la mita 100-120 bila kujali upana ni ngapi mita. Lisiwe mbali saana na mjini kati. Mwenye kufahamu mahali laweza patikana au...
1 Reactions
1 Replies
461 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…