Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

My fellow jf bado nipo naendelea na mchakato wangu wa kuuza au kupunguza baadhi ya assets zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu ulioyumba tangu mwaka huu uanze uchumi kwangu ume collapse kabisa...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Msaada tutani, Habari, nahitaji kigari Cha biashara (Uber, tax ) kwa bei elekezi tu ya mtanzania, bei 4M-6M likiwa mwanza itapendeza zaidi. Kama Kuna mwenye nacho au anaefahamu mahali naweza pata...
1 Reactions
3 Replies
618 Views
Nauza kiwanja Kibamba shule, karibu na Hondogo sekondari ukubwa wa eneo 35m x 15m liko vizuri sana bei 10,000,000 mawasiliano 0787503677 or 0656403680
1 Reactions
4 Replies
1K Views
SAMSUNG A72 📱 Storage 128 GB|8GB ⚙️ Dual sim ✅ Battery 5000mAh Display 6.7” Black ⚫️ Tsh 850,000/= From Muscat Oman Inamiezi 6 tu . Haiba shida yoyote 0715160365 📞
1 Reactions
0 Replies
565 Views
Eneo linauzwa lenye ukubwa wa heka moja linauzwa lipo kitanga wilaya ya kisarawe lina mabanda ya kufugia mifugo mbalimbali kama [emoji230] ng'ombe, [emoji238] mbuzi, kuku [emoji215] bata na kuna...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla.. Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
[emoji95]JE WAJUA? Nguvu ya laki 8 tu,unamiliki kiwanja chenye ukubwa wa futi 50*40 viwanja vipo tambarare kabisa na vina barabara za mitaa. [emoji3534]Tupo Vikindu na Vianzi [emoji95](Ukubwa...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
- Jipatie Canal+ HD decoder uweze kuburudika katika msimu huu wa ligi mbalimbali kwa sh 185,000 (ikijumuisha ufundi+ kifurushi cha kuanzia)/dekoda pekee yake ni 150,000 - Utaweza kuona ligi za...
2 Reactions
78 Replies
12K Views
Shamba la korosho lenye ukubwa wa hekari kumi na lenye mikorosho 300 ambapo mikorosho hiyo ni ya miaka mitatu na ipo tayari kwa kuanza kuvunwa, lipo ndani ya jiji la Dodoma, lipo mita 500 kutoka...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hapa Abraar Education Centre tunatoa mafunzo yafuatayo kwa vitendo... 1) Mafunzo ya kuunda vifaa vya ujenzi (masonry). 2) Mafunzo ya ujenzi (masonry). 3) Mafunzo ya lugha ya Kingereza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo mbeya wilaya ya mbarali, inauzwa na jembe lake 25m.Ipo katika Hali nzuri. Mawasiliano. 0765853672
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitaji dish la startimes tu liwe ktk hali mzuri nicheck 0652500649
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Natafta mtu ambaye anazifahamu accounting packages vizuri na mwenye uzoefu na kuzitumia especially tally naomba tuwasiliane kuna mchongo.
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Jipatie shamba kwa bei chee, Ni mazuri kwa uwekezaji wa aina zote, ( kilimo, mabwawa ya samaki na mengineyo) Yapo katikati na karibu na eneo lililotengwa kwa ujenzi wa reli ya mwendokasi, na hiyo...
0 Reactions
49 Replies
14K Views
Ujenzi wa Bandari kavu unaendelea kule Kwala-Ruvu. kuna fursa nyingi za Biashara, Viwanda n. k Kama unaitaji Ardhi kwa ajili ya kununua, au kukodisha ni bora ukawahi sasa. Ziko ekari zaidi ya 30...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Shamba liko kijiji cha Kwala (Serikali inapojenga bandari ya nchi kavu na reli ya standard gauge(SGR) bei ni laki 8 kwa Kila Heka 1, zipo Heka 12 kijiji kimepimwa hivyo ukihitaji hati ya kimila...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni ndugu yangu. Anatafuta shule ya kukodi. Iwe Msingi ama Sekondari kwenye mkoa wa DSM, Pwani ama Morogoro. Kwa yeyote anayeweza kusaidia kufanikisha hili anakaribishwa sana. Mengine...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Natafuta ballmill used liwe na uwezo wa kusaga kuanzia tonne 5 kwa saa
1 Reactions
3 Replies
500 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…