Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndugu mwana JF, Tunatoa huduma za Digital Printing kwa vitu mbalimbali kama ~Vipeperushi ~business cards ~labels ~ID cards, kadi za harusi ~na documents mbalimbali. Quality ya kazi ni nzuri...
2 Reactions
81 Replies
16K Views
Nauza viatu vizuri vyenye quality,napatikana Dar es Salaam na mikoani natuma kwa uaminifu mkubwa. Kwa mawasiliano zaidi 0678096545 WhatsApp/call
0 Reactions
69 Replies
4K Views
Wakuu,nina kavitz changu Old model kilipata ajali mwaka jana na kimekaa juu ya mawe miezi kama 7 hvi bila kuguswa baada ya kuumizwa na hiki kitoroli. Naomba kama kuna fundi magari wa ukweli...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Naomba kujua Bei ya mabati migongo midogo kutoka kiwandani. Rangi ninayopendelea Ni carrot
0 Reactions
16 Replies
38K Views
Used but in mint condition. Call 0734846322
1 Reactions
4 Replies
803 Views
TOYOTA CHASER GF-GX 100 ✓ Engine capacity : cc 1980 ✓ Full AC ✓ price: 3,100,000 Tshs (fixed) ✓ call/WhatsApp 0753285898
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Azam full set Decoder na dish na kifurushi cha mwezi Bei: 170k Kiwalani, Dar. Call 0683011003
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nafanya kazi za usafi wa aina zote Kufua na kufagia nyumba nicheki Kwa namba 0783942706 napatikana mbande mbagala popote ulipoo ukiniita nakuja
0 Reactions
9 Replies
790 Views
Mkoani mbeya...Tunasafisha na kung'arisha masink ya choo pamoja na marumaru zenye uchafu sugu zilizofubaa Yaani kushindikana kabisa na kurudi kwenye Hali yake ya upya kwa kutumia dawa na vifaa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Tumsifu Yesu kristo wadau..I hope mko poa..Kuna chalii waga namsikia sana redioni hasa matangazo ya Kiburudani likiwemo tangazo la Bongo Star Search (BSS) la mwaka huu..Lakini pia tangazo la...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Ikiwa una uhitaji wa kujifunza kiingereza kwaajili ya matumizi yako ya kila siku na katika masomo suluhisho hili apa. Utajua Vocabulary (msamiati), grammar na utafanya mazoezi na mwalimu mahiri...
1 Reactions
2 Replies
755 Views
habari wana jamiforum mashine ya kuranda na kuchana mbao inauzwa iko vizuri kabsa kwani utaifanyia kazi kabla ya kuilipia. Bei ni maelewano :0747175984:pia whattsapp:0747175984: ipo Mbeya.ila...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Toyota IST ya 2007, 1490 CC, 63,800 KM. Price/Bei: TSh 14.5 million Inuzwa na mmiliki (hakuna dalali). Ipo Mbweni malindi/Mbweni JKT, Dar es Salaam. Wasiliana 0759970963/ Whatsapp 0625536529...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
glanza turbo manual transmition 5.5m dsm 0626409908
0 Reactions
2 Replies
722 Views
IMEUZWA* Redmi note 8 pro Duos
1 Reactions
5 Replies
867 Views
Brand New iPhones Prices iPhone X 64GB 900,000/- and 256GB 950,000/- iPhone Xs Max 64GB 1,250,000/- & 256GB 1,350,000/- iPhone 11 64GB 1,450,000/- & 128GB 1,550,000/- Call 0768689694
0 Reactions
1 Replies
758 Views
LOCATION-MBEYA MJINI(forest mpya) Bei-200000/= per month nyumba ina vyumba vitatu,ipo complete kila unachokijuwa wewe kipo . mawasiliano:0747175984 muonekano wa inje huo hapo.
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Assalaam Wanabodi, Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote. Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani wahitimu wote wa vyuo na hawana kazi tafadhali tujuane hapa. Mimi nimesoma chuo kikuu cha Dodoma shahada ya ukunga (bachelor of science in midwifery ) 2019. Nimetuma maombi kila kona ata...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…