Habari za leo wanafamilia.
Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps.
Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu.
Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa.
Sasa mm Leo ningependa...
TRANSPORTER ANATAKIWA MWENYE GARI ZOTE ZIWE MPYA NA SAWA,SHACKMAN AU SCANIA KUPELEKA MZIGO LUBUMBASHI.ASIWE NA CHINI YA GARI 236 AMBAZO NDIZO ZINATAKIWA.MZIGO NI MBOLEA NA PEMBEJEO.AWE NA LESENI...
jenerata aina ya perkins linauzwa bei himilivu na rafiki jenereta lipo kwenye hali nzuri na matunzo yake linapatikana masaki dar es salaam.
KVA 25
bei ni milion 8 na laki 5 tu
mawasiliano...
Baada ya kukosa muda wa kusimamia biashara yangu tajwa hapo juu naamua kupiga mnada vifaa vifuatavyo vikiwa full package
1. Computer desk top had dsk 540gb ikiwa na full movie na miziki ya aina...
Habari wanajamvi,
Kwa yeyote anayehitaji au atakayehitaji huduma inayohusu uwekaji mfumo wa maji safi na majitaka katika jengo, hata ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu : 0754341362 au...
Shamba linauzwa
Liko- Tanga Tanzania.
Mahali- Handeni
Eneo- Kabuku
Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami.
Ukubwa wake ni heka 100
Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji.
Ndani yake lina...
Kwa mahitaji ya viungo kama Iliki, Karafuu, Tangawizi kavu na Pilipili Manga nicheki kupitia namba hii 0786360818. Bei zetu ni za jumla tupo Tanga Muheza na usafiri ni juu yako. Hata zaidi ya tani...
Nina shida ya pesa
Iphone X
Ina wiki 2 tu.
Gb 64.
B.Health 100%.
Face id.
Truetone.
Nina shida na pesa.
Box lipo.
Charger na earphones zipo.
Kiufupi mzigo ni mpya.
Bei maelewano.
Number.
0683011003
For;
University students
O-level student
Advanced level students.
Bei ya offer:25000/= badala ya 35000/=
Tunapatikana mabibo mwisho na ubungo river side
Mawasiliano 0755379743