Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Husika na kichwa hapo juu mwenye nacho anicheck kwa no 0678288666 hii kiwe used au kipya kwa bei za kitanzania.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya Honda Stream kwa milioni 9M haina mwezi tangu itoke bandarini Wasiliana nami kwa 0716727741
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Offer ni 800,000/= iwe na document zote, simu 0626245934.
1 Reactions
1 Replies
597 Views
Habari. Kuna ndugu ameniomba nimpostie tangazo lake. Product tajwa hapo juu inauzwa.. Vitamax double shot. Ni product kutoka Malaysia imetengenezwa kwa asali na mizizi, Haina kemikali hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana. Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta. Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Gangilonga ni mabingwa kuuza computer aina zote zenye ubora wa hali ya juu bila kusahau warranti, iwe chuo au games au kazi binafsi. Pia, tunatengeneza computer zenye matatizo mbali mbali kwa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari JF, poleni na majukumu ya kila siku. Leo napenda niwajulishe kuhusu mafuta ya alizeti nauza elfu 26 kwa lita 5 kwa wakazi wa Dar es Salaam. Unaweza kuagiza popote ndani ya dar na huduma...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Toyota CHASER BALLOON GX 90 Cc 1800 engine number 4s Full tinted Full documents Reamsports Safar popote mkoa wowote call 0683011003 Location Ukonga Bei million 2.5
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanajamvi wajasiriamali hasa waliopo kwenye Micro Finance, watu binafsi au SACCOSS au biashara yoyote ya kukopesha fedha. Je, kati yetu kuna mtu taasisi yake au kampuni wana shida ya kupata...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya 3D view za design ambazo nimeziandaa, 1. Ina sitting room, three bedroom, guest room, study room, kitchen, store, public w/c Inachukua nafasi ya 222.65SQM. 2. hii ina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta magari mawili ya chap aina ya Stalet, Ist, vitz, suzuki, platiz, spacial etc Bajeti yangu ni 3m kwa gari moja. Mwenye nayo njoo chamber tuyajenge.
0 Reactions
6 Replies
931 Views
Karibuni juycer hizo kukamua matunda bila maji Bei ni hiyo 120000/= 0746715216 Dar free delivery Mkoani tunatuma
1 Reactions
5 Replies
765 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua nyote ni maboss zangu, kwa maelezo mafupi yanayoendana na kichwa cha bandiko. Kutokana na taaluma yangu, Freelance Photographer...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Rafiki yangu mpendwa, Miaka elfu 5 iliyopita, binadamu aliyekuwa porini akiwinda au kukusanya chakula, aliposikia kishindo alianza kukimbia mara moja. Hakusubiri aone kishindo hicho ni cha nini...
14 Reactions
20 Replies
3K Views
Iko vizuri kasoro hizo cracks ambazo bado hazina madhara yoyote touch inafanya kazi vizuri. 95000 top.
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Habarini za sasahivi ndugu zanguni? Ni matumaini yangu mko wazima wa afya .. Kwa mala nyingine tena leo hii naatangazi iphone tajwa apo chini zote zinapatikana Kwa kijana wenu mjasili na mali...
7 Reactions
275 Replies
33K Views
Kiwanja kinauzwa Bunju A Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete document za serikali ya mtaa zipo Bado hakijapimwa Size 30*30 KUHUSU MIUNDOMBINU...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HELLO! WE ARE COMPUTER SPRINGS With Over 7+ years of Innovation, Dedication and Trust Computer Springs is a Technology Company providing highly scalable web solution and all IT solution with...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau wa JamiiForums, Salamu kutoka WLC. Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi. Mzigo wako...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Kijana mwenze ninawaombeni kwa mwenye uhitaji wa fundi Skiming na Upakaji Rangi na upakaji wa material mbali mbali ya urembo kama vile, stone, Decoo, con mixer, pamba/...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…