Habari zenu wadau wa jukwaa la biashara.
Mdau mwenzenu nimewaza sana biashara ya kufanya baada ya kudunduliza kwa mda mrefu sana Tsh 10 millions na nikakopa 10 million jumla nna 20 million...
Very unique Star X rechargeable wall fan..sofa za hili fan ni kua linajichaji wakati linatumika kwaiyo umeme ukikatika linaendelea kufanya kazi Kwa muda wa saa7 na umeme ukirudi litaendelea...
Natafuta chumba Master na sebule maeneo ya Kimara Baruti mpaka Suka au Goba center kurudi Mbezi Beach.
Ikijitegemea luku nzuri zaidi na parking Muhimu Pia Offer Yangu laki moja (100,000)...
Ndugu naomba yeyote anaejua mashine za kufyatua matofali matofali ya udongo Kwa Mfumo wa kisasa anielekeze na bei yake.
Mpaka sasa tofali za udongo za kuchoma ndzo zinatumika sana kwenye ujenzi...
Nyumba mpya inauzwa ipo mjini Chanika Mwisho.
Kwa tshg million 21,000,000/=
Ukubwa wa eneo sqm 400
Nipigie:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala...
Napatikana Dar Wilaya ya kinondoni, kata ya Kawe, kwa mawasiliano 0625959542.
Unapata kitanda cha 5*6 na bed side zake mbili....wahi kabla ya offer haijapita.bei ni 250000 fixed.
Karibu sana.
HII NDIO KAMPUNI BORA YA USAFI TANZANIA
[emoji3591] TUNATOA HUDUMA ZA USAFI WA NYUMBANI [emoji537] NA OFISINI [emoji539]
@mrusafitz @mrusafitz @mrusafitz
[emoji117] Kusafisha
[emoji819]...
Kwa Dar wapi naweza kupata nguo nzuri za mtumba kwa bei nafuu?
Kwa wauzaji wa nguo msaada please au Kama sio muuzaji na unamfaham muuzaji fanya kuconnect hapo.
Kwa mhitaji wa nyumba hii njoo chapu ufunge mwaka vizuri:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45.
Kwa tshg million 30,000,000/=
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master...
Canon 70-200mm f4.0 ipo katika hali nzuri sana
Note:inaoperate in f4 haifungi
Bei 1m
Kama unahitaji kununua au kuvinja na kitu nicheki
0629274880 or 0752527054 or whatsup 0716917896
nicheck...
Vifaa vya bakery vinauzwa vipo katika ubora wa hali ya juu ,vipo Mbezi Beach.
Vinahusisha jiko na vifaa vingine vyote.
Bei sh 10mlns
Naambatanisha na video
Xbox one X ndani ina 2Tb Storage ipo na pad moja natoa na cd 3,gear of war4,forza 7 na injustice 2
Bei 1.2m
Kama upo serious nicheki 0629274880 or 0752527054
Nitafute kwa namba ya simu sisomi...
Ni fundi urembo wa
Dirisha
Nguzo
Fensi
Kona au pembe za nyumba
Pia Tunafanya Skimming na Rangi kwa bei nafuu kabisa...
Pia tunatengeneza Dirisha za Aluminium kwa bei safiii
Simu : 0789005562...
Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025
Updates:
Nimefanikiwa kupata.
Nashukuru!