habari wakuu, naomba msaada kwa wadau waliopo zanzibar, kuna duka linaitwa Zanzibar Electronics wanauza TV bei nzuri sana nilitaka kujua kama kuna mtu aliwahi nunua kitu hapo please njoo PM.
Habari wakuu,
poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu samahani, natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya ilala au Tabata.
Budget line ni kuanzia 30,000 mpaka 70,000 kwa mwezi.
Payment iwe...
Nataka kuaza kuuza nguo za watoto za mitumba sema nlikua nataka kujua mabelo ya mitumba yanapatikana wapi na bei zame zimekaaje kwa belo, mwenye uzoefu tafadhali.
Dawa kiboko ya nzi majumbani katika mgahawa pia wale wa mabucha wote mnakaribishwa bei ni nafuu shilling 300 kwa pic moja na pic 50 ni 10000 badala ya 15000. Kwa mawasiliano piga namba 0783859598
Nauza brand new remote controler ya AC aina ya Gree.
Iko pc moja na ni mpya kabisa.
Bei Tsh 40,000/=
Napatikana Dar es salaam
Mkoani nakutumia kwa bus (utalipa gharama za usafiri)
Mawasiliano...
NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA
Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje.
Kiwanja...
Husika na kichwa hapo Juu ninauza blender mpya kabisa aina ya Kenwood zenye uwezo wa kufanya kazi nzito yaani zinafanya kazi zote za kusaga vitu vikavu na vilaini inasaga Hadi unga yaani nafaka za...
Habari wakuu Ninauza Raba nzuri Sana mtumba Grade A tunapatikana Mwanza Nyegezi ila Popote tunatuma na pia tunauza Jumla na reja reja
Jumla kuanzia PC 10 sh 14,000 hii Ni flat rate bila kujali...
Wadau wa JF
Je unatarajia usafir kwenda Johannesburg iku za hivi karibuni na utahitaji Taxi (Usafiri), tuna magari ya kubeba abiria kuanzia 3 mpaka 32.Ofisi zetuzpo OR Tambo International Airport...
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili.
Bei: Tsh. 950,000/=
Umeme Upo na maji visima vipo karibu
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Huduma za...
Eneo:
kiluvya makurunge umbali km 8 kutoka barabara kuu ya morogoro road
Bei nikuanzia shillingi 1,500,000
Malipo
1.Unaweza lipa yote kwa awamu moja
2.Unaweza lipa kidogo kidogo ndani ya miezi 3...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s, ni simu ambayo inakuja na teknolojia kubwa ya kamera na uwezo mkubwa utakaowanufaisha watumiaji katika...
Shamba hili lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na kibululu primary school (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda).
Lina heka 4 zinapelea kidogo.
Kuna...