Meza ya saloon ya aluminiam ina box moja 50000
Vioo viwili ukubwa futi 6kwa futi 4 upana 160000VIMEZUNGUSHWA aluminium
mlango mkubwa wa flem wa aluminium futi 7kwa 6 300000
nipo buza temeke...
Napunguza baadhi ya vitu ndani kwangu naanza na kabati la nguo ni la milango mitatu halina shida nimeamua tu kuliuza baada ya kununua jingine kama utakuwa interested nicheki PM nitakupa namba na...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,nauza kabati la nguo la milango miwili limetumika miezi sita tu ,sababu za kuuza nahama mkoa.kabati lipo dar bei ni 180k maongezi yapo,nipm namba yako...
Habarini za usiku wakuu, bila kupoteza
Muda napenda kwenda kwenye mada
Ambayo inausiana na ujenzi wa nyumba na
Umaliziaji nyumba ,
Kwa mawasiliano zaidi piga 0688802481
Natafuta chumba na sebule cha kuishi maeneo ya Ubungo Kibangu, Riverside, Hostel visizidi 70,000/=
Viwe na maji na umeme, kama maji yakipatikana kwa jirani sio mbaya.
Please mwenye taarifa...
TOYOTA ALPHARD (DLN)
Manufacture Year: 2007
Engine Capacity Cc: 2360cc
Mileage: 105,000km+
Fuel: Petrol
Standard features:
Transmission: AUTOMATIC
Asking For: 11.3M
For more details kindly...
HD Kali Sana Ni LED
MODEL : Vankyo ina kila kitu chake
HDMI .USB. VGA. .AUX .VIDEO OUT .RESOLUTION 1080 HD
Unaweza kuunganisha Laptop, kingamuzi, Pc , CM yako na Tv Box unakaifanya pia kuwa smart...
Habari wana JF. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajili ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao...
Nauza boma lipo
Majohe Kichangani
Ukubwa wa kiwanja ni 31×30
Nyumba ina vyumba 3 kimoja master
Pia pembeni nyumba in frame 4 za biashara
Ni mjini sana na umeme, maji na barabara vyote vipo na...
Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya...
Husika na kichwa hapo juu kwa yeyote mwenye kuhitaji shamba la kilimo lenye maji na miundo mbinu mizuri yaani barabara umeme upo shamba liko barabarani linafaa kwa kilimo cha vitunguu mpunga...
Shamba lenye ukubwa wa ekari 40 zenye miti zaidi ya elfu thelathini linauzwa Geita eneo limepimwa na limekatwa viwanja na maeneo mbalimbali huu mradi unaweza kuamua kuuza miti yote ukaa chaeneo...
Kiwanja kizuri kipo barabarani kabisa huduma za kijamii Kama maji umeme vinapatikana kizuri zaidi mawe yanapatikana Hapo hapo kwa wale wanaopenda kupigwa upepo hapa ndo sehemu sahihi.
Kiwanja...