Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wakazi wa kimara na Ubungo sasa unaweza unaweza kupata huduma ya kununua gesi kidogo kidogo kulingana na mahitaji yako kwa kuanzia shilingi 1000 kwa kutumia simu ya mkononi kama tunavyo nunua...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari!! Je, ungependa kuanzisha biashara yako ya kujikwamua kiuchumi kupitia Bongo Live Reseller Program? Bongo Live ni kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kwa kutumia Bulk SMS yaani meseji...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wapendwa wanaJF, Nina Biashara ya Kufyatua Tofali hapa Goba Tegeta-A along Njia Nne/Madale Road. Niahitaji Lorry Fuso tani 4?/4.5 kwaajili ya kubeba mchanga, kwa makubaliano ya hesabu ya siku...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Make : subaru Model : Legacy *Bei Mil 9.5 tu. Engine code : Ej 20 non turbo Engine capacity : 2000 Manufacturing year : 2005 Transmission semi automatic Sport rims☑ Air conditioner ☑ Booster with...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Tunauza Grandstream gxp2140 IP Phone mpya kabisa kama zinvyoonekana kwenye picha kwa sh 100000 pamoja na 24 ports patch panel za brand ya Begin kwa sh 50000 tu. Tunapatikana Karume, Dar es salaam...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Habari Zenu Wanajamii Forum Ningependa Kuwapa Habari Nzuri Kwa Wale Wote Wenye Ujenzi Unaoendelea Mjini DODOMA Wa Nyumba Office Nk.. AIDF Inawapa Fursa Ya Kuwaunganisha Na Mafundi Wazuri Wakueka...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Hi Rafiki, Karibu tupeane support kwakuungana mkono ujasiliamali mdogo mdogo, hapa nitakuwa nakupostia frame mbalimbali za miwani ya macho,sun glasses (shades). Ambazo Ni comfortable hazibani kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
“If you haven't read hundreds of books, you are functionally illiterate, and you will be incompetent, because your personal experiences alone aren't broad enough to sustain you.” ― Jim Mattis...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za jioni viongozi na poleni kwa majukimu. Ninaomba msaada kwa yeyote anaefahamu wapi naweza pata hivyo vitu ainishwa hapo kwenye picha. Mimi ninapatikana Dar es salaam,Tanzania. 1.Siemens...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari. Tunapatikana...
6 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari? Kwa yeyote anayehitaji huduma yeyote inayohusiana na nyuki Mfano, 1.Magogo ya wadogo/wasiodunga. 2.Kutolewa nyuki kwenye Majengo na sehemu hatarishi. 3.Elimu ihusuyo ufugaji nyuki...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Lenovo K5 PRO BLACK *BRAND NEW* Qualcomm Snapdragon 636 64 GB Space 4 GB RAM 5.99 inch screen 4050 maH Battery Double Line and supports 4G all networks. 4 Cameras - 2 Back cameras...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wakuu, nahitaji freezer la kununua kuanzia size ya kati wastani wa futi 3.5(105 cm) au Lita 300 na kuendelea. Liwe second hand na bei ifananie hapo. Ni kwa ajili ya biashara hivyo liwe...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Natamani nifanye hiyo ila sijui pa kuanzia 1 mitandao inayouza 2; gharama za usafiri na kodi mpaka kufika nchini 3: namna ya kupata mzigo 4: mengineyo ya muhimu mnisaidie Nataka nguo za watoto...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu, Katika pitapita zangu kwenye mtandao wa Instagram ninekutana na tangazo la Mr Kuku la kukaribisha wawekezaji, ambapo kiasi utakachowekeza utapata mara mbili yake baada ya...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Tunatoa huduma ya kusuka motor za aina zote Tunafunga mashine za umeme za aina zote Turepair na kutroubleshoot mashine zote Ushauri Mawasiliano: 0753946107 +255 718 185 096. Dar es salaam Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bei mwisho laki 650,000/= Nipo kahama mjini Call na sms only 0620307124 Kama huiwezi hiyo bei sitaki usumbufu
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara. Ina vyumba sita (6) Sebule Choo ndani Fremu moja ya biashara Maji + Umeme Total Square meter (660)..Bei ni milioni...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Lake Victoria Fisheries Organization (LVFO) is an institution of the East African Community (EAC) charged with the management and development of fisheries and aquaculture. It was formed by a...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Habari wana JF wote, Leo nimewaletea bidhaa bora kabisa kutoka pwani kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tunauza kwa jumla na rejareja pia kwa bei zifuatazo :- 1 kg @ Tsh 6800 jumla 1 kg @...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…