Scientific Calculator used zikiwa katika hali nzuri kabisa zinauzwa...!!
Moja ina mfuniko kwa 20k na Nyingine haina kwa 15K.
Karibuni kwa huduma ya faster nichek 0738294674 wahi faster nipo Dar
Elfu 22 kwa kilo
Napatikana Dar Es Salaam.
Usafiri mpaka Dar juu yangu.
Ndani ya Dar unaletewa ulipo.
Mikoani natuma.
Karibuni PM
0658895785
0693215343
Nahitaji mashize zifuatazo ziwe used from UK or anywhere, Kama mtu anazo naomba ani PM prices ili tunegotiate
1. Air Compressor 200Litres or above, iwe umeme au petrol au both
2. Tyre Changer...
Camera aina ya Pentax, nzuri, inauzwa.
Bei: Tsh. 300,000 tu, inapiga picha za kawaida na kuchukuwa video.
Ni nzuri mno.
Mawasiliano: Piga au sms 0624213741
Habari
Natafuta shamba la angalau ekari 3 katika eneo popote kuanzia bunju mwisho hadi bagamoyo upande wa kulia km unaenda bagamoyo. Natafuta shamba ndani ya upande huo nilioutaja hapo juu. Kama...
Iko Mtwara sehemu inaitwa Naumbu,,zipo ekari tano,zote jumla milioni 60,,kwa uekazaji, kujenga hotel, apartments n.k
Karibuni,wateja na madalali(real estate agents).kwa mawasiliano zaidi...
Nahitaji kwenda Zanzibar kununua simu na laptop used kutoka nje nasikia kule ni bei rahisi. Mliowahi kwenda kule naomba mwongozo.
Naomba nijue maeneo wanapouza hivyo vitu kwa jumla pia naomba...
Jipatie original Microsoft Windows 10 Pro kwa bei nafuu kabisa sawa na bure ya Tsh. 30,000
Wasiliana nami kupitia Whatsapp 0768444224
***Tunatuma popote ulipo***
Habarini wadau wabhabha na wabhamayo mimi ni Msukuma niko Mwanza nimeuza kang'ombe kaurisi sasa natafuta namimi kakiwanja sehem nzuri hata kama ni kijijini lakini karibu na miundombinu au kijiji...
Habari wakuu
Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316
Kimepimwa kina hati
Bei 2m fixed
Nb gharama za serikali za mtaa zinalipwa na mnunuzi
Mawasiliano...
Habari za muda huu wana Jf,
Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto.
Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kioo cha TV yangu kimeharika nahitaji kioo cha TCL inch 42. Niko Morogoro, Dodoma na Dar nakuja fasta.
Shukrani