Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

tunauza mashuka jumla na reja reja ya cotton ambayo yametengenezwa hapa hapa Tanzania. kwenye mfuko mmoja kunakaa mashuka mawili na foronya 4, ukubwa wa mashuka ni inch 90 kwa 100 ambayo ni...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Hello Team ,Fuso Tiper D 16 ,4 Angle linauzwa shilingi milioni 37. Liko Babati Arusha , maongezi yapo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, unahitaji kusajili kampuni yako hapa Tanzania na hauhitaji kukaa foleni na kuepukana na usumbufu wa kufika BRELA? Basi kampuni pendwa ya Finespace and Business Consultancy Limited inakuweka...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hello ndugu, nawatafuta wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania wanaonunua Senene kwa ajili ya biashara kutoka Bukoba, Kagera wanaolangua. Tafadhali tuwasiliane, tukutane uchukue...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031. Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari nahitaji flat tv inch 24 NA kuendelea iliyotumia aina yeyote hela niliyokuwa nayo ni 170000 nipo moro town mwenyenayo anicheki 0715992666 whatsapp au nipigie
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Kwa wale wazoefu, nataka kujua bei ya mihogo niuzaje shambani, shamba lipo kibaha, nililima mwezi wa 3 mwaka jana, ile mbegu ya kukaa muda mrefu shambani (ndope). Ni mikubwa na mitamu. Lakini...
0 Reactions
41 Replies
26K Views
Hayaaa dagaa hao wa Mwanza wamekaangwa vizuri kwa viungo ili kukupa radha ya kueleweka kabisaaa[emoji108][emoji108][emoji108].Ni watamu sana na pia hawana mchanga wala uchungu.Na hakika ukiwaonja...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Sumtech Company Limited Tuna bidhaa zenye uwezo wa kulinda,kutoa taarifa kuhusu gari lako,kwa kupitia simu yako mteja anaweza kuona, -Speed -Sehemu ya gari yako ilipo -kuzima au kuwasha gari...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyumba ipo Mbezi Jangwani Beach Ndani ya eneo kuna nyumba 2. Ukubwa wa kiwanja ni 3500 sqm Bei 350m Panafaa kujenga ukumbi, hotel, bar nk. Maongezi zaidi 0756060183
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji sabuni ya eternal aloe vera Kwa aliepo Dodoma anaeuza anicheki 0757898117 / 0716601979
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pet's Vaccination Card Price: 2,000Tsh | Available Mifugo Tz ina madaktari(Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama. Tunatoa huduma mbali mbali za mifugo kama: a) #Chanjo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari inauzwa Tsh 4.5m Gari iko kwenye hali nzr kabisa na haina tatzo lolote. Maongezi zaidi 0756060183
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujua kwa anayefahamu bei ya kitambaa cha car shade pekee yake pamoja na labor ya kushona kwa car shade ya mita 5 kwa mita 5. Asanteni 0625 536 529
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari... nimehama mbeya, nimeacha kitanda na godoro 4*6 nimetumia mwezi mmoja(20days)... bei 150k fixed... karibuni..kama utahitaji kukiona tiwasiliane 0742900511
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Nauza simu yenye maelezo 1. Aina ya Simu: Samsung A30 2. RAM 4GB 3. Internal Memory 64GB 4. Line 2 5. Battery 4000amH 6. Imetumika mwezi mmoja na siku kama 8 7. Rangi nyeusi, haina mpasuko wala...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Nauza simu Original ya iPhone 6 GB 128 Bei yake Tsh 600,000 tu Rangi ya sliver Ina cover la gumu sana la kuzuia kuvunjika kioo hata maji kuingia ndani, water proof na impact proof kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo jioni nilikuwa na rafiki mmoja, alikuwa analalamika atatamani kujifunza programming lakini kiingereza kinachotumika kwenye vitabu na Youtube video kinamchangaya haelewi. Ameniomba nimfundishe...
9 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari Kwa wale wapenda simu, niko na Tecno 11 pro Ni mpya na nzima ina kila kitu Bei ni 300,000 Unakagua mpaka una ridhika kisha ndiyo unaichukua. Serious buyer njoo inbox. Details Price...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…