Camera Nikon 3200 + battery + Charger + lense ya 18-55mm
Inauzwa bei cheap
Tsh 600,000 Tu.
Haina Tatizo lolote imetumiwa miezi 8
Inashoot Full HD video na picha
Tupo Mbezi beach , Dar
Mawasiliano...
Model: Toyota Harrier Lexus
Year: 2005
Engine CC: 2362
Full AC
Mileage: 110,200Km
Location: Dar es salaam
Price: 21M (Maongezi yapo)
Piga/WhatsApp :0719972458
Gari imetunzwa vizuri kama inavoonekana
NAUZA MAGARI NAPATIKANA KIMARA BARUTI.
NAMBA ZANGU NI 0676217485 OR 0762740081 KARIBU
TOYOTA WISH IMESIMAMIA KUCHA NAMBA DP BEI YA KUTUPA MILLION 12 NAPATIKANA KIMARA BARUTI
Hello Wateja wangu
Karibuni katika biashara yangu ya Dagaa wa kukaanga kutoka Jijini Mwanza.
Tunauza dagaa wasafi na walioandaliwa katika mazingira safi.
BEI ZETU
Tunaanzia pakti kwa Tshs elfu...
-ukubwa wa eneo ni 25m *23m square meter 575.
- eneo lipo kwenye mradi wa urasimishaji ardhi
- barabara ipo ya mtaa hadi kwenye kiwanja
- eneo lipo karibu na shule ya msingi kifuru (malamba...
Hello wanajamvi
Vyuma vimekaza lakini bado tunakomaa na malezi! Natafuta baby car seat, umri ni kuanzia mwaka mmoja.
Najua wengi mmelea na sasa hizo kitu zipo tu stoo zinabwia vumbi. Mwenye nayo...
Frame.kubwa nzuri inapangishwa iko njia ya kwenda Kimara Bonyokwa
Hapa mwanzoni opp na Kyauke Lodge
Luku inajitegemea
Kodi 70" 000 kwa mwezi
Malipo miezi 3
Cont 0713458722
#ini sehemu ya...
2:International storage : 1tb( 1,000)
3: Model : Hp
4:Color : Gray
5: Mideum width.
6: With webcam
7: Inakaa na charge zaidi ya 2hrs.
8:Angalia picha iliyoambatanishwa.
Inapatikana Arusha...
Tunatengeneza website kwa ajili ya aina yoyote ya biashara unayohitaji.
Bei ni Sh 95,000 tu na hakuna gharama zilizojificha (No hidden costs)
Tupo Mwanza, Tanzania na tutakuhudumia ukiwa kokote...
Wakuu hbar za mida,
Nauza pikipiki boxer bm 150 ina miezi 11 tu na imetembea km 22,621 mpka sasa haijawahi kugongwa ipo katika hali nzuri kabisa na pia ina kibali cha mjini.Pikipiki ni ya kwangu...
TANGAZO TANGAZO
HAKI SECONDARY SCHOOL
P.O.BOX 2294 TANGA
Shule imesajiliwa kwa namba S1553. Ipo katika halmashauri ya Jiji la Tanga kata ya Nguvumali.
Ni shule ya bweni na kutwa kwa wavulana na...
Tunatengeneza greenhouse za ukubwa tofauti kutokana na eneo husika,
1) tunajenga za miti, ambazo hukaa kwa muda wa miaka 8,
a) mita 6 upana 12 urefu,tunajenga tunalifunika kwa wavu maalum...
Habari njema kwa wakulima wote. Pata, Super Grow mbolea Ya asili ya maji inayokuongezea mavuno Mara mbili zaidi ya unachovuna sasa.
1.NYANYA
2.VITUNGUU
3.MPUNGA
4. NGANO
6.MAHINDI
7.MAHARAGE
8...