Habari wana JF,
Tuna software nzuri na kwa bei nafuu kwa wenye taasisi za mikopo
Kwa wenye kuhitaji kuiona inafanyaji wake kazi naomba wani pm au wanichek kwa hizo namba ntawapatia link
Ahsante...
Gari aina ya Toyota Noah au Hiace inahitajika kwa ajili ya kusambaza vinywaji vikali Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara kwa mwezi mmoja.
Dereva ni wangu, mafuta na matengenezo ya kawaida...
Laptop bado ni mpya na haina tatizo lolote na risiti yake ipo.
Hdd 320gb
Ram 4gb
Processor 2.30ghz i5
Slim and portable
Os window 10
Fast charge adapter
More than 3 hours in battery
Web cam
Mouse...
Je wewe ni mdau wa Betting na unahitaji Odds 2+ za uhakika kila siku, ninachukua tips za uhakika kila siku kutoka kwa matipsters wakubwa.
Hakuna kubahatisha ni uhakika... Tips ni kila siku...
Karibuni shuka nzuri mtaani zinaitwa shuka za Uganda
Ni cotton 100%
Hazitoi vipele kabisa
Kufulia omo ni ruksa kabisa.
Zinafaa kutandika na kujifunika
Ukubwa ni 6*6
Zinatosha Godoro nch 10...
Habari za asubuhi wakuu, naomba kujuzwa juu ya bei ya jumla ya viti vile vya Cello vyenye miguu ya chuma pamoja na meza. Nataka nifanye biashara ya natural juice bar.
Kutoka kampuni ya Zola pekee unapata Sola Imara na betri pekee zilizotengenezwa kwa madini ya lithium ion zenye maisha marefu na vifaa vyakee kama TV za size tofauti ,taa zenye mwamnga wa kutosha...
Habari za wakati huu
Mashine za kuchanganya malighafi kwa ajili ya kupata savuni ya maji zinatengenezwa na kuuzwa. Kwa wakati huu ipo ya size hii
Kuchanganya lita 50 kwa nusu saa.
Inatumia...
Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area)
Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya...
Tuwambie wapi ulipo unavuna nn au wanavuna zao gan kama wewe si mkulima na bei yake. Thread itakua endlevu.Karibuni!
Naanza Mkoa wa Mtwara hapa zao linalovunwa ni korosho bei ya mnadani ni...
Mashine nzuri ya kutotoleshea vifaranga vya kuku na bata. inauwezo wa kubeba mayai 1056. ni nzima na inafanya kazi vizuri. bei yake ni 1,800,000/= kwa mawasiliano piga simu 0787220120
Natafuta Essential Oils kama vile Jojoba, Sandalwood, Lavinder, Flax seed oil, nk. Kwa ambaye anajua mahali naweza kupata tafadhali anitumie msg kwa simu 0688308840