natafuta shamba kwa ajili ya kupanda miti mkoa wa Iringa, njombe, ruvuma na mkoa ya jirani na hii. Anayejiona ni muuzaji halali wa shamba aniPM
Kabla hujawasiliana na mimi Hakikisha shamba lako...
Nakodisha mashela MAPYA na yaliyovaliwa kidogo. Bei ya ofa ya kufungia mwaka. Shela lolote utakalochagua bei ni 150,000/ wahi sasa uchague kilichobora upendeze kwenye Harusi yako Kwa bei Chee...
Habari za mapumziko ya wiki ndugu zangu!
Tumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehma kama tumejaaliwa kuwa wazima hadi muda huu kwani kuna wengi wapo vitandani wanaumwa, wengine wanaelekea kuzikwa...
Kwa mahitaji ya accessories za solar kama water pumps, solar heaters, street lights, outdoor lights, garden lights na items zote za solar orijino kutoka ujerumani pamoja na ufundi wasiliana nasi...
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimehitimu form six mwaka 2017 nikapata Division 3 ya point 14, yaani PCB=DEE ambayo sikustahili kupata mkopo wa serikali, na kutokana na uchumi pia nilishindwa hata...
Habarini za majukumu mabibi na mabwana. Nauza simu ndogo Samsung SM-B310E double line ina torch na sehemu ya memory card pia inatumia charger ya smart phone.
Nipo Mwanza. Mawasiliano 0769467836
Tunatoa hufuma ya MAFUNZO kwa MBWA aina zote kwa ISHARA na SAUTI.... Tunatoa mafunzo ya UTII, UKALI na vinginevyo kulingana na mahitaji ya mteja pia BOARDiNG zipo bei nafuu
+254758650568 whatsup...
Habari nauza King'amuzi cha antenna cha startimes kwa bei poa sh 35000/ tu kipo kwenye hali nzuri local chanel ni bure kipo DSM Kitunda mwenye uhitaji anicheki 0715992666
Yule kijana machachari asiye na macheko na hela al maarufu kama Ontario au sir_jeff Dennis, ameanzisha kongamano maalum kwa ajili ya kuwainua vijana kiuchumi na kifkra, nyote mnakaribishwa.
Kiwanja kinauzwa heka 4, kipo bagamoyo kilomo kilometers sita kutoka barabara kuu ya bBgamoyo, upande wa kilomo shule ya msingi, ukienda Bagamoyo upande wa kushoto, uliza kilomo shule.
Bei ni...
I hope everybody is ok in the house.
Janga kuu la mvua zinazoendelea kunyesha ni mafuriko ambayo yamesababisha baadhi ya watu hasa wale wanaoishi mabondeni kukosa makazi pamoja na kupoteza mali +...
Cheers wadau,
Kwa wale ndugu zangu wanaohangaika kupata mafuta ya alizeti, tutawasaidia yanapatikana kwa uhakika na haraka zaidi.
Kwa sasa madumu yaliyopo ambayo hayana oda ni 100. Tunapatikana...
Ndio Clinic pekee ya NATUROPATHIC hapa Tanzania, tunatoa huduma za kitaalam na kwa kutumia herbs na food supplements, Naturopathic Doctors wetu watakufanyia body screening ili kujua chanzo cha...