Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari!! Nipo Dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ina vyumba vitano bafu na choo ndani, ina vyumba vingine uwani viwili vyenye choo na bafu, ina eneo kubwa kwa mbele na nyuma pia ina eneo kubwa, gari inafika hadi mlangoni Bei milioni 46...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wandugu wa hapa jf naombeni msaada wenu, nahitaji kununua pool table kwa ajili ya kuweka kwenye bar yangu Nipo Mwanza naombeni mnijuze pa kununua
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wakuu nawasalimu nyote,kuna tv flat inch 25 SINGSUNG toleo la kwanza kabsa kitu og imetumika miezi miwili tu inauzwa kwa Tsh 220,000/= Kwa serious buyer njoo pm au call 0657955212 wahi mapema...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
1.Brenda SOLD Ujazo: 1.5 litre Condition: MPYAAAAA KASORO BOX Bei: TSH. 75,000/= BEI INAPUNGUAAAAA! LOCATION: UBUNGO DAR ES SALAAM PHONE# :0764232348 2. Tecknet wireless keyboard mini bluetooth...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Gari aina ya Fuso ni tipper inauzwa kwa muhitaji anitafute kwa namba 0753366279
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwenye Spare zifuatazo za landrover freelander (1998) anichek Kioo cha mbele Control box Dash board Taa za nyumba mbili moja ya juu nyingine ya chini Cv joint Brake system , Call /Whatsap...
0 Reactions
5 Replies
894 Views
Nauza mashine za popcorn zainazotumia umeme bado mpya kabisa..tupo kariakoo Call................0788 929 673 WhatsApp......0742 066 161 .......TUPO KARIAKOO KARIBUNI SANA......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Nahitaji mfumo rahisi utakaonirahisishia mahesabu katika kampuni. Yaani uwe na; Ninachotarajia kukusanya Nilichokusanya Nilichotumia Ninachodai Ninachodaiwa Pia...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
  • Closed
Idris by foreman Namba 41 inauzwa imevaliwa mara 6 tu. Nipigie 0715531232
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii biashara nakumbuka ilivuma sana miaka ya 2012-2014. Tuliambiwa mayai haya yanafaida lukuki za kiafya lakini Sijui ni nini kimetokea maana yamekuwa adimu kweli kweli. Mfano, leo nimezunguka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Toyota raum inauzwa million tisa iko katika hali nzuri ikiwa na vibali vyote haijawahi kugongwa na ni namba D
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini zenu wanajamvi. Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba vitatu. Nyumba isiwe mbali kutoka chuo kikuu cha muhimbili.
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Tangazo Kwa Watanzania Wote TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK UTAWALA WA SERENGETI FREIGHT UNAPENDA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yeeeraah Bablai uku Chigidi-Chuga. Mbanga ni moko tu asee!! Ni Tigo Figidi-Fiesitraa 2019 Saizi yake Levels Baby.Msafara wa Tigo Fiesta2019 Apa Chugamaica ambao ulitimba Mornie...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Weka Order ya mchele wa mbeya kuanzia kilo 100 nikuletee.. Bei kwa kilo ni 2400. Hadi dar na dodoma. Kila Jumatano na Ijumaa naleta mzigo dar na dodoma! Pia napokea oda kwenda mikoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MWANZA...MWANZA....MWANZA Kwa mahitaji ya kuuza au kununua nyumba, viwanja, mashamba na mali zingine zisizo hamishika..... Kupangisha au kupanga nyumba, vyumba, appartment pamoja na mashamba Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dell inspiron Hdd 500 Webcam Ram gb4 Processor intel(pentium) Ikiwa na action movie 50+. Series 10+. nyimbo 2000+ na vitabu kama 30+ Bei ni 350,000.
0 Reactions
9 Replies
972 Views
Shamba linapatikana mkuranga mkoa wa pwani. Kijiji kinaitwa BUNGO ( baada ya kutoka mkuranga mjini) Shamba Lina jumla ya hekari 3 Umbali kutoka lami mpaka shamba lilipo ni meter 800-1km Shamba...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Karibu mwana jf ujipatie viti 3 pamoja na meza ya ofisini, viti 2 havizunguki kiti kimoja cha kuzunguka bei laki 450,000 ukitaka kiti kimoja na meza ni laki 350,000 location kigogo dar es salaam...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…