Habari wadau, taa kwa ajili ya tafrija mbali mbali pamoja na viti vinauzwa. Bei ya taa ni mil. 12 kwa taa zote na viti ni sh. 40,000/= kwa kiti kimoja. Viti vipo mia sita na taa zipo 27. Tafadhali...
wakuu kama nilivyojiekeza hapo juu nauza samaki kutoka mwanza popote ulipo nakutumia Tanzania na nje ya Tanzania, bei maelewano nicheck kwa namba 0744420666 voda,0653842347 tigo,0625937918 halotel.
Habari zenu wapendwa,Tunaitwa GATEMILE FARM ni wasambazaji wakubwa wa vifaa na mashime ufugaji kama Incubator,Water regulator,Motor,Water tanks,Limit switch,Hita ya maji na electrical,Tunauza na...
Wakuu dekoda ya dstv eplora inauzea bei sawa na bure shilingi laki moja na themanini tu =180000
Ipo kwenye hali nzur kabisa yafaa kwa matumizi
Simu
0692792519
0719590756
Hii ni kwa wale wanaopenda Kuagiza Gari kutoka nje kutumia mawakala wenye "Exposure" ya kutosha na Uaminifu ktk Mchakato mzima wa Kuagiza na kukabidhiwa Gari. Tumeanza May, 2017 na tunaendelea...
Habarini wapendwa nauza kiwanja changu mwenyewe kipo kibaha vijijini Kata ya Boko Mnemela , Huduma zote za kijamii zipo umeme , maji vyote vishafika , japo kwa Gari nauli ni mia tano toka Tumbi...
Habar za leo wakuu natumai mko poa sana...
Kama kichwa cha habar kinavojieleza naomba kujua wapi nitapa mabati haya ya kawaida haya ya migongo midogo lakini yenye rangi hata yasiyo na rangi ili...
SPIKA ndogo yani spika 1 na twita 1 bei laki 400,000 na SPIKA KUBWA YANI spika 2 na twita 1 laki 600,000 PIGA 0677423349 UJE DUKANI KUNUNUA POST DAR ES SALAAM
Sofa na mito yake - 600,000
Fridge - 400,000
MAONGEZI YAPO
NB: vitu vyote bado vipya
Napatikana Tabata reli karibu na chuo cha st. marys
Mawasiliano: 0769621797
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo
Tunauza asali nzuri kabisa iliyombichi ambayo haijachanganywa na kitu chochote ambayo inakuwa nzuri kwa afya yako ambayo inauwezo wa kukuondolea maradhi...
Nauza TECNO camon CX
ram 3gb
storage 16gb
camera 16mp
adroid 8.1.00
Price 240,000
simu ni mtumba kama mpya kabisa na unapewa guarantee ya mwaka mzima
mawasiliano zaidi 0658644485
Habari,
Nauza simu mpya aina ya tecno kwa bei za chini au bei za jumla,
Simu zina warrant ya mwaka mmoja na ikitokea imekusumbua au ukihitaji kufanya service utafanyiwa katika vituo vya Tecno...
Ijumaa Kareem Viongozi,
Technologia imekuwa kubwa nahofia kununua famba(fake). Kwa wataalam,simu gani ina afadhali kidogo kwa hiyo pesa? Kuna zingine ukitoka tu nje ya mji net work inakata,ikae...
Wapenda kuna bodi la ISUZU TX LOG BASE inauzwa ni bidi tupu hamuna mashine ila liko sawa linataka rangi na mashine tuuu.
Tuwasiliane kwa anaelihitaji
0777433260/0626544813
JE UNATAKA KUJENGA GHOROFA DODOMA?
[emoji3500]NUNUA KIWANJA SASA USISUBIRI BEI ZIWE KUBWA UJUTIE KAMA WANAVYOJUTIA WATU WALIOPAPUUZIA MASAKI AMA OYSTERBAY MIAKA IYO...
Mashuka yote hapa ni ya futi tano kwa sita.
Yanafaa kwa kutandika na kujifunika.
Siyo cotton kwa 100%.
Ni ya mtumba.
Muonekano ni poa sana.
Yanapatikana Dar.
Mawasiliano ni au karibu pm.
kimomwe Motors waagizaji wa magari kutoka nje tuko Live Radio Kiss Fm kuanzia saa 4 na Nusu mpaka saa 6 mchana wa tarehe 05/09/2019
Zifuatazo ni frequency
Frequency: 98.9mhz Dar Es SalaamS...