Namtafuta mmiliki wa gari tajwa hapo juu tufanyebiashara.
Dalali kanitumia picha ya gari ila ananiambia nimtumie hela kidogo kwanza (sijui ya nini). Nahitaji kununua hili gari kama kweli lipo...
Habari
Kiwanja KINAUZWA Kipo KIMARA MWISHO Upande wa Barabara ya Morogoro Road,Ukitoka Posta
Kiwanja Kina Ukubwa wa Square Meter 19,200
Kimezungukwa na Nyumba za Makazi
Kiwanja Kina Nyumba...
Kiwanja inauzwa, kipo Goba Tegeta A.
Kiwanja hakijapimwa. Tayari kuna makazi ya watu.
Kipo mita kama 600 kutoka barabara ya lami ya Goba - Mbezi.
Ukubwa wa kiwanja: 20m x 22m
Bei: Milioni 15...
hello!kiwanja kinauzwa mbezi ya Kimara,kituo temboni kabla ya kufika mbezi mwisho upande wa kushoto ukiwa unatokea ubungo,km 4 from Moro goro road,ni nusu heka na bei!milion 16 hakina hati ila...
Habari wakuu,
-Kiwanja kipo kimara kwa komba.
-Kimepimwa ila bado kukabidhiwa hati.
-kipo sehemu ya tambalale
-Mita 20 kwa 25
-Bei Milion 12
-Maelewano yapo
-0712595636
Habari wakuu, nauza eneo langu hapo Goba Kinzudi Magorofani lenye size ya 47x30m, limepimwa na lina mawe( Beacons), ni accesible na mwendo wa 2-3 min hadi njia kuu ya Goba, maongezi yapo. Hilo...
kiwanja kinauzwa mbweni Plot number 179 block 4 Mbweni mpiji kiwanja kipo karibu na soko yaani mbele ya soko na pia kipo karibuni na shule ya msingi na viwanja vya michezo, ni sehemu nzuli sana...
Uwanja uko goba kinzudi, unaweza pitia salasala mwisho wa lami
Ukubwa mita 25 kwa 20
Manzari mazuri sana
Bei 11m
Maongezi zaidi wasiliana nami +255756060183
Kiwanja kipo goba maeneo ya Lastanza..ukubwa mita 48 kwa Mita 20
Bei 27m
Kiwanja kipo kwenye muinuko, ukiwa hapo unaona mandhali nzr ya mji na upepo mzuri unaupata
1km kutoka goba road na 4km...
Ni kitabu kinachofafanua maana ya Maneno hayo mawili. Viongozi wa dini wameongea kwa ufafanuzi. Pia kimesheheni mada kibao, kama: MWANAMKE KABLA HAJAOLEWA ANATAKIWA AWE AMEFANYA NGONO NA WANAUME...
Habari ndugu?,
Nimeipenda hii gari na unafuu wa hii bei ya Tsh 3,372,935/= as a total price.
Nauliza, hivi mpaka kuimiliki ifike kwangu gharama itafika tsh ngapi? Tafadhali naomba ufafanuzi kwa...