Mwenye gari ndogo ambae hawazi kuiazimisha wiki au mwezi mzima kibiashara kwa brand nilizotaja hapo juu, fanya unicheki inbox.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu!
Husika na kichwa cha habari hapo juu,kama unaihitaji watu waje kwenye semina yako,mkutano,kanisani,makambi n.k,usipate shida,unachotakiwa nikuwasaliana na mmi,uniambie unahitaji...
Habari za Jumapili hii ndugu zangu. Kiafya mimi niko vyema kabisa, wacha niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikifanya uchunguzi juu ya biashara ya ufyatuaji tofali nikaona soko kubwa lipo...
Wakuu salama umu ndani,Mimi nauza Kuku wa kienyeji kuanzia 15,000,pamoja na mayai ya kienyeji trei 14,000 nipo arusha kijenge kwa mawasiliano 0784320071 utanipata tutaongea zaidi.
WADAU. ANAYEFAHAMU MUUZAJI WA SHAMBA/PLOT KUANZIA EKARI 5 HADI 10 (au 20) MAENEO YA BAGAMOYO (KATI YA DAR NA BAGAMOYO) AU UMBALI MFUPI BAADA YA BAGAMOYO MJINI ANIJULISHE INBOX.
PREFERRED:
Eneo...
electric motor generators
ni teknolojia ambayo umeme uwezi kukatika wala kuisha labda uzime wewe tu.
teknolojia hii ni mapinduzi makubwa ambayo mbadala wa mafuta,jua,maji,na nguvu za kiatomiki ili...
Habari wakuu,
Nauza Samsung Galaxy s2 au niko tayar kubadilishana na Tecno K7 au Spark3,, sababu ya kuuza au kutaka kubadilishana mm nafanya kazi ya Uber so hii simu imekataa uber driver App.
Bei...
TUNAFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ), KUANZIA NUSU HEKA NA KUENDELEA, EPUKA KUKAUKIWA KWA MIMEA SHAMBANI KWA UKOSEFU WA MAJI YA UHAKIKA, NA KULIMA KWA KUTEGEMEA MVUA PEKEE...
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS kupitia Ipilimo Tuagize Magari....tumetimiza mwaka mmoja sasa tangu tuanze biashara ya IMPORT AGENCY SERVICES.
Tumeweza kushirikiana vema na SBT JAPAN Kuwaagizia Wateja...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima
Natafuta mtu mwenye uzoefu na maswala ya kununua vitu online
Nataka kuagiza laptop kutoka Amazon
Kama upo tayari njoo pm tuongee biashara.
Habari zebu
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Naomba Kama kuna mtaalam...
laptop ya blue ni ya mtoto kuanzia class one hadi seven anaweza tumia bei 75 elfu
laptop ya pink ni ya watoto wanaoanza kujifunza kusoma bei elfu 60
game ya tatu ni ya watoto wanaojianda kwenda...
Kwa mwenye hayo magari anaweza share nami picha hapa ama dm,Gari liwe katika hali nzuri na bei nzuri ,iswir number A. .Engine isiwie inavuja popote.
Waiting for a seriuous seller.
Karibu.