Hormone hii inahusika na mambo yafuatayokuufanya uume uwe imara.kucontrol kukojoa wakat wa tendo i mean mshindo.kucontrol kusimamisha uume kwa haraka na kwa mda mrefu, kuamsha sponge never kwenye...
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye taaluma ya umeme wa majumbani,nafanya wiring,na pi kurekebisha hitilafu kwenye nyumba,na pia natoa ushauri kuhusu maswala ya kiumeme.kwa mawasiliano...
Kwa mara nyingine @weaccesorieshousetz tunakulete smart watch nzuri sana na zenye kukutimizia mahitaji yako hasa wale watu wako busy basi suluhisho limepatikana
Specifications zake
Unaweka line ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naitaji vitz R's namba D nzuri lazima iwe imetengenezwa kuanzia 2003 Kuendelea,, gari nzima hasa budget yangu milioni 6 kama unayo nicheki kwenye...
Mtambo huu unatumika maeneo yalio kosa huduma ya umeme mtambo huu wa mashine ya kunyolea na kichajisha simu unahamishika
*Mtambo huu unauwezo wa kunyoa watu 10-12 kwa ukubwa huu,
*Ukikosa...
Brand- Cummins Power generator
Capacity-38kva
Price- mil 17.5 also negotiation allowed
Location-Kigamboni Mikadi
Kwa anayehitaji ani Pm tufanye biashara.
Lengo ni wewe upate kiwanja pengine mwisho wa mwaka huu uwe umeanza kujenga
kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni karibu na na panafikika kirahisi wakati...
Nikiri kuwa sijatembelea shopping center nyingi ila kuna vigezo ambavyo nimevizingatia hadi kuja na tamko hili kuwa Kibo Complex ndiyo shopping center bora zaidi Dar es Salaam.
1. Utulivu - Ni...
Wadau kiwanja kinauzwa, mahali ni Mtwara mjini katikati ya mji. Kimepimwa, na hati iko mkononi,hakiko kwenye mkopo, maana yake hakidaiwi wala hakina mgogoro, kipo mtaa wa madukani, kimelipiwa kodi...
Wakuu nahitaji gari tajwa hapo juu ambayo bado iko ktk hali nzuri
Engine; 5A piston 4
Kama unayo nipigie kwa 0655 25 63 03/ 0689 400 903 Nije niione tuongee biashara.
Niko mjini Dodoma.
Karibu.
UNGA MPYA MJINI ARUSHA
Tunawakaribisha wauzaji , wasambazaji na wadau wote . Pumba pia hupatikana .
Wasiliana na sisi ile kupata fursha hii .
Contact : 0658 277 288/ 0784 950 950
Email...
Habari za mchana wanaJF
Moja Kwa Moja:
Je kuna kiwanda humu nchini kinachotengeneza mifuko Ile migumu ya kubebea vitu (inayouzwa 500/1000)... Na kama IPO wanapatikana wapi? Naona mifuko mingi ina...
Grand Theft Auto IV. (PC Game)
Call of Duty (world at war) (PC Game)
Fifa 14
Injustice
Assassins of Creed IV
Call of duty Black Ops II
Assasins if Creed
God of War Collection
Call of Duty 4...
Nauza vitu vifuatavyo bei Chee k abisa.Nipo DSM
Sofa ya watu wa tatu na ya watu wawili 170,000/, kabati la vyombo unaweza akiweka TV na redio pia 170I'm,000/- kitanda na godi to lake futi nne...
-Raum old model
-Cc 1490
-Low in mileage
Fuel use-petrol
Mode of transmission-Automatic
-gari ni nzima+inatembea+Aina tatizo lolote
-iko nkuhungu dodoma
BEI-4,000,000/=(fixed)
NB-Gari...
Rejea kichwa cha habari.
kutokana na changamoto za uhamisho wa kikazi nimeamua kuuza vifaa vyote vya bakery vilivyopo mwanza. vifaa vyote ni vizima na vinafanya kazi kabisa.
vifaa hivyo ni kama...