CAREER AND UTUMISHI HUB INATOA HUDUMA BORA KWA WATU BINAFSI NA MASHIRIKA
*KWA WATU BINAFSI:
Tunasaidia walimu katika kufichua talanta za wanafunzi na kuwaongoza kwenye mwelekeo sahihi wa taaluma, au kukuza na kuendeleza taaluma waliyochagua kutoka shule za msingi, sekondari hadi ngazi ya elimu ya juu. Tunatoa:
Maandalizi ya usaili
Uhakiki wa nyaraka
Mentorship na coaching
Msaada wa kutafuta ufadhili wa masomo
Mwongozo wa kuchagua taaluma inayofaa
Pia, tunajitolea kukuza na kuendeleza watu wenye vipaji na zawadi, kuhakikisha wanapata fursa za kufikia malengo yao.
KWA MASHIRIKA:
Tunasaidia katika:
Kutafuta wafanyakazi wenye ujuzi
utoa programu za maendeleo ya kitaalamu
Kufanya utafiti wa kisomi kutoa maarifa muhimu
JIUNGE NA CAREER AND UTUMISHI HUB LEO!
Anza safari yako ya mafanikio, kukuza talanta zako, na kufikia fursa za kimataifa.
Contact us now to unlock your potential and discover opportunities for growth!
Phone : 255656480968
Email: careermasteryhuborg@gmail.com
OUR CHANNEL
Follow the USAILI MASTERY HUB channel on WhatsApp:
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaiBJWK6RGJOco3ZOi3U
- Gender
- Male
- Occupation
- International Business Consultant
-
25
Content you have posted has attracted 100 likes.
-
50
30 messages posted. You must like it here!
-
30
Your messages have been liked 25 times.
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.