Gideon Ezekiel

Godwin Msalichuma ni mwandishi wa habari wa kujitemea aliyesomea uandishi na kupata cheti cha juu katika habari za uchunguzi katika biashara, lakini pia ana utaalamu wa mauzo na masoko (sales and marketing.

Na amefanya kazi na kampuni ya Nation Media Group na Business Times akiwa kama afisa masoko mwandamizi na baadaye mwandishi wa gazeti la Majira.

Amesomea pia uanzishaji na uendeleza wa biashara ndogo na za kati kutoka chuo kikuu cha Dar (UDEC). Pi amejiendeleza kwa kozi fupi fupi za uandishi wa habari akiwa Mtwara press club.

Kwasasa anaendelea na mafunzo ya uandishi na masoko mtandaoni (online digital marketing) na anafanya kazi za mtandaoni (online freelancing writing, copywriting, proofreading, editing and translating).

Kwa yeyote anayehitaji huduma tajwa hapo juu anaweza kunipata kwa namba zifuatazo: +255713609255, 0767609254.

Email: msalichuma@gmail.com
Dar Es Salaam, Tanzania.
Birthday
February 16
Gender
Male

Following

Trophies

  1. 25

    Somebody Likes You

    Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
  2. 20

    First Message

    Post a message somewhere on the site to receive this.
Back
Top Bottom