Julai mwaka jana, wakati anawaapisha Manaibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi (SACP) wa Jeshi hilo, Rais Magufuli alisema amepata taarifa za rushwa ndani ya Jeshi la Polisi inayokadiriwa kuwa kati ya Sh bilioni 60 ambazo zililipwa kuwanunulia nguo na vifaa vingine...
Kwa kifupi kiuhalisia hakujawahi kuwepo na kundi la Sukuma Gang. Jina hili lilipata umaarufu kutokana na kuhusishwa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5 Bwana John Pombe Magufuli. Hii ni kutokana na Magufuli kuwaamini sana na kuwapa nafasi Makada wenye misimamo mikali ya Kijamaa wanaotoka Kanda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.