You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly. You should upgrade or use an alternative browser.
Jimmy Georges Gilbert
Alizaliwa tariki 24 februali mnamo 1997.
Akahanza elimu ya msingi mwaka wa 2023 pa shule ya msingi Tanganyipa pa Lugufu.
Aka jiunga na shule ya sekondari na kuitim 2015 pa Mwenge wa Taifa/Baraka.
Aka jiunga na chuo kikuu cha maendeleo kijijini «ISDR-BUKAVU» mnamo 2016 na kuja kumaliza miaka 4 bahadaye.
Ni baba wa watoto 6, wanaume 2 na wanawake 4.
Ni mkristu wa roman catholic. Mwaka wa 2021 alifanya mafunzo na kupata cheti juu ya vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia VBG chini ya mradi wa UMBRELLER aki simamiwa na HERITIERS DE LA JUSTICE. Mwaka uho akapata mafunzo ya kupatanisha na kusululisha watu katika hali ya ugomvi.
Ni mtahalam pia katika kompyuta aki zingatia sana : programmation, MicroSoft Office, Adobe;...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.