Naitwa John ni mkazi wa mji wa Mugumu wilayani Serengeti. Kazi yangu ni mtembeza watalii (Tour Guide).
Nawakaribisha wote mje kutembelea hifadhi yetu maarufu zaid duniani na kujionea moja kati ya MAAJABU SABA YA ASILI YA DUNIA, maarufu kama THE GREAT WILDEBEESTS MIGRATION.
Pia unaweza kujionea wanyama wakubwa na maarufu kama vile simba, tembo, kifaru, chui, nyati na wengine wengi.
Kwa maelezo zaidi kuhusu utaratibu na gharama za kutalii tafadhali wasiliana nami kwa namba 0625818341
-
30
Your messages have been liked 25 times.
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.