Chini Ya Mbingu,Hakuna Jipya,Yote tuyaonayo yaliwahi kuwepo,Mabaya Yalikuwepo Na Mema Pia Yalikuwepo,
Lakini Jambo La Ajabu Zaidi Ni Kwamba Kila Jambo Chini Ya Mbingu Lina Pande Mbili Zake.
1)Mbaya Yana Ubaya Lakini Ubaya Huo Una Faida Zake,
2)Mazuri Yana Wema Lakini Wema Una Hasara Zake Pia.
CCM Iliyochukiwa sana,Ilimtoa Magufuli Anayekubalika Sana,Na CHADEMA iliyopendwa sana,Ilimtoa Lowasa Aliyekataliwa.
Narudia,Mema Yana Hasara zake,Kadhalika Na Mabaya Ya Faida Zake.
YEHOVAH MUNGU NDIYE MWANZO MWISHO!
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
100
You've posted 100 messages. I hope this took you more than a day!
-
50
30 messages posted. You must like it here!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.